Umemsifia Meck Mexime. Lakini Kagera sugar ipo chini yake na inavurundaKinachombeba huyo Mrundi amesomea ukocha ufaransa,ujerumani mchi zenye mpira
Hivyo formations ,systems ,mbinu na uongozi atakuwa yupo vizuri tu
Mfano juma mwambusi hajacheza mpira lkn angalia anavyoheshimika nchini kasomea ubelgiji hivyo kila alipoenda mbeya city,yanga,singida anafanya vzr
Hawa wazawa waanzie timu za chini waonyeshe uwezo tizama matola na mexime wanafanya vema nawapongeza
Yanga &simba wana experience mbaya na akina minziro,kibadeni ,jamhuri hivyo kuchukua wazawa waliosomea TFF risk nayo,
Tizama mganda mayanja alivyoibadilisha kagera sugar ikawa inacheza mpira wa kuvutia ila alipoondoka kagera imekuwa nyanya..mayanja kasoma nje huko kwenye mpira
Hawa wazawa waliosomea local waanze chini huko
Kweli mkuu, warundi sasa stand, mbao,nk wazawa wanakodoa kodo. Kibadeni mazoezi yake ni wachezaji kubebana na kukimbia Na mchezaji akiwa mabegani, mkwasa majungu, Julio mipasho.Kinachombeba huyo Mrundi amesomea ukocha ufaransa,ujerumani mchi zenye mpira
Hivyo formations ,systems ,mbinu na uongozi atakuwa yupo vizuri tu
Mfano juma mwambusi hajacheza mpira lkn angalia anavyoheshimika nchini kasomea ubelgiji hivyo kila alipoenda mbeya city,yanga,singida anafanya vzr
Hawa wazawa waanzie timu za chini waonyeshe uwezo tizama matola na mexime wanafanya vema nawapongeza
Yanga &simba wana experience mbaya na akina minziro,kibadeni ,jamhuri hivyo kuchukua wazawa waliosomea TFF risk nayo,
Tizama mganda mayanja alivyoibadilisha kagera sugar ikawa inacheza mpira wa kuvutia ila alipoondoka kagera imekuwa nyanya..mayanja kasoma nje huko kwenye mpira
Hawa wazawa waliosomea local waanze chini huko
Mkuu kwani Mexime kaanza kufundisha msimu huu?? Hebu fuatilia rekodi zake tangu akiwa Mtibwa kabla hajaenda Kagera iliyoponea chupuchupu kushuka daraja na kuifanya ishike nafasi ya 3 msimu uliopta, utakubaliana na mtoa mada kwamba Mexime ni moja ya makocha bora ambao tz tumejaaliwa.Umemsifia Meck Mexime. Lakini Kagera sugar ipo chini yake na inavurunda