Warundi ni makocha wazuri?

Warundi ni makocha wazuri?

kavulata

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2012
Posts
13,778
Reaction score
14,214
Tanzania tunasikitisha, hatuwezi kila kitu, hii ni pamoja na mpira. Pamoja na Tanzania kusifika kuwa kisiwa cha amani kwanini Makocha na wachezaji wetu makini mwenye timu zetu sio watanzania? Tena wanatoka kwenye nchi ambazo sisi tunaambiwa kuwa hazina amani.
 
Kinachombeba huyo Mrundi amesomea ukocha ufaransa,ujerumani mchi zenye mpira

Hivyo formations ,systems ,mbinu na uongozi atakuwa yupo vizuri tu

Mfano juma mwambusi hajacheza mpira lkn angalia anavyoheshimika nchini kasomea ubelgiji hivyo kila alipoenda mbeya city,yanga,singida anafanya vzr

Hawa wazawa waanzie timu za chini waonyeshe uwezo tizama matola na mexime wanafanya vema nawapongeza

Yanga &simba wana experience mbaya na akina minziro,kibadeni ,jamhuri hivyo kuchukua wazawa waliosomea TFF risk nayo,

Tizama mganda mayanja alivyoibadilisha kagera sugar ikawa inacheza mpira wa kuvutia ila alipoondoka kagera imekuwa nyanya..mayanja kasoma nje huko kwenye mpira

Hawa wazawa waliosomea local waanze chini huko
 
Umemsifia Meck Mexime. Lakini Kagera sugar ipo chini yake na inavurunda
 
Kweli mkuu, warundi sasa stand, mbao,nk wazawa wanakodoa kodo. Kibadeni mazoezi yake ni wachezaji kubebana na kukimbia Na mchezaji akiwa mabegani, mkwasa majungu, Julio mipasho.
 
Umemsifia Meck Mexime. Lakini Kagera sugar ipo chini yake na inavurunda
Mkuu kwani Mexime kaanza kufundisha msimu huu?? Hebu fuatilia rekodi zake tangu akiwa Mtibwa kabla hajaenda Kagera iliyoponea chupuchupu kushuka daraja na kuifanya ishike nafasi ya 3 msimu uliopta, utakubaliana na mtoa mada kwamba Mexime ni moja ya makocha bora ambao tz tumejaaliwa.
Hata Mourinho aliiacha Chelsea ikiwa nafasi ya 10+ huko lkn bado tunamsifia kwamba ni moja ya makocha bora kwa sasa.
 
Back
Top Bottom