Warusi na wa Ukraine ni kabila moja na hata lugha zao zinashabiana

Maghayo

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2014
Posts
20,307
Reaction score
47,210
Mzuka wanajamvi

Ukiondoa ukristo wa Orthodox na ukatoliki kwa mbali Hawa watu ni ndugu moja (ethnicity) wametoka Jamii moja ya slavs na lugha zao zinashabiana wote Hawa Russians, Ukrainians, Belarusian, moldovan, poles, slovaks, slovenes, Bulgarians, zchecs, serbs, makedonians, croats, latvians, Lithuanians wote Hawa wakiongea wanasikilizana kabisa lugha zao zinashabiana.

Na katika nchi ya Moldova imegawanyika upande wa Urusi na upande wa Romanian ambao inatambulika na EU.

Ndo maana raia wengi wa Urusi hawajapendezwa kabisa na uvamizi wa Putin Ukraine. Putin anakera sana.
 
Ukraine alishaiondoka lugha ya kirusi kama lugha ya taifa ukraine
Lugha yao haina hata tofauti kubwa na kirusi, wao kuondoa russian language katika lugha ya taifa lao haifanyi wasiwe na strong ties na urusi. Kama jamaa alivyosema hapo juu, they're brethrens na kama ambavyo sisi tuko proud kukizungumza kingreza, nao waukraine wako so proud kuongea kirusi...they're just brothers na kifupi ni koloni la mrusi hili.
 
Mzuka wanajamvi

Ukiondoa ukristo wa Orthodox na ukatoliki kwa mbali Hawa watu ni ndugu moja (ethnicity) wametoka Jamii moja ya slavs na lugha zao zinashabiana wote Hawa Russians, Ukrainians, Belarusian, moldovan, poles, slovaks, slovenes, Bulgarians, zchecs, serbs, makedonians, croats, latvians, Lithuanians wote Hawa wakiongea wanasikilizana kabisa lugha zao zinashabiana.

Na katika nchi ya Moldova imegawanyika upande wa Urusi na upande wa Romanian ambao inatambulika na EU.

Ndo maana raia wengi wa Urusi hawajapendezwa kabisa na uvamizi wa Putin Ukraine. Putin anakera sana.
Umesahau kutaja mji wa Copenhagen, pia nao ni Ndugu na hizo nchi 😄😄😄
 
Ukraine alishaiondoka lugha ya kirusi kama lugha ya taifa ukraine
Ila lugha yao inashabiana na Russian. Wote are from the same ethnicity and language groups SLAVS
 
Back
Top Bottom