Warusi wajivunia kuangusha drone iliyokua imeanza kushambulia kambini Urusi, wamekufa watatu

Korea ya kusini inalindwa air defense system za marekani ikiwemo Patriot air defense system na THAAD. Lakini Drone 5 za korea ya kaskazini zimechezea anga la KOrea ya kusini kwa masaa 7!! Ndege za korea ya kusini zikatumwa kuzifukuzia hazikufua dafu!! Zilirushiwa makombora 100 ili kuziangusha lakini makombora yote 100 hayakufanikiwa!! Ndege nyingine ikaruka ili kuongezea nguvu lakini baadaye ikaanguka (bila shaka ilipigwa tochi / electronic warfare). Korea ya kusini ikashtuka ndege yake ya kijeshi kupigwa tochi ikaamuru ndege zisiruke (kwa kuhofia pia zitapigwa tochi). Baada ya drones hizo tano kuchezea anga la korea ya kusini kwa raha zake kwa masaa 7, zilirudi salama nchini korea ya kaskazini!!

Bado kuna watu wanaamini air defense za marekani ni mwarobaini!! Tangu leo hayo mawazo yatilieni shaka!!

Details of North Korean drone incident revealed – media​

A North Korean drone ventured into its neighbour’s airspace for at least seven hours, South Korean media said, citing the military
Details of North Korean drone incident revealed – media

A South Korean Army Apache helicopter.

The South Korean military has said it fired more than 100 rounds at a trespassing North Korean drone on Monday, but failed to down it, according to Yonhap news agency. It is estimated that several unmanned aerial vehicles (UAV) remained in the South Korean airspace for seven hours.

Umeongeza chumvi na viungo vyote, hiyo incident imefanyika huko mkoa mpakani, na ilikua kwa lisaa moja tu, Korea Kusini walikua wanatumia helicopter.
Kwenye huu uzi tunaongea kuhusu drone kukatiza kilomita 600 ndani ya supapawa.
 
Korea ya kusini inalindwa air defense system za marekani ikiwemo Patriot air defense system na THAAD. Lakini Drone 5 za korea ya kaskazini zimechezea anga la KOrea ya kusini kwa masaa 7!! Ndege za korea ya kusini zikatumwa kuzifukuzia hazikufua dafu!! Zilirushiwa makombora 100 ili kuziangusha lakini makombora yote 100 hayakufanikiwa!! Ndege nyingine ikaruka ili kuongezea nguvu lakini baadaye ikaanguka (bila shaka ilipigwa tochi / electronic warfare). Korea ya kusini ikashtuka ndege yake ya kijeshi kupigwa tochi ikaamuru ndege zisiruke (kwa kuhofia pia zitapigwa tochi). Baada ya drones hizo tano kuchezea anga la korea ya kusini kwa raha zake kwa masaa 7, zilirudi salama nchini korea ya kaskazini!!

Bado kuna watu wanaamini air defense za marekani ni mwarobaini!! Tangu leo hayo mawazo yatilieni shaka!!

Details of North Korean drone incident revealed – media​

A North Korean drone ventured into its neighbour’s airspace for at least seven hours, South Korean media said, citing the military
Details of North Korean drone incident revealed – media

A South Korean Army Apache helicopter.

The South Korean military has said it fired more than 100 rounds at a trespassing North Korean drone on Monday, but failed to down it, according to Yonhap news agency. It is estimated that several unmanned aerial vehicles (UAV) remained in the South Korean airspace for seven hours.
Patriot, THAAD, S-400, S-300 sio kwa ajili ya hizo mini drones tutawakumbusha hili hata kama mnakaza mafuvu kuelewa.

Na ukiambiwa neno "rounds" haimaanishi ni makombora kama ulivyosema wewe hapo. South Korea sio ya kurusha makombora 100 kwa drone moja, imefyatua rounds za cannon au gun inayokuwa kwenye helicopter au fighter inategemea nini ilitumwa. Hiyo drone ya North Korea kama haikufanya uharibifu itakuwa ni provocation tu ambazo haziishi ile zone
 
Drones ni changamoto kubwa kwenye modern warfare...most of defense systems are for fighter jets, copters and missiles
 
Mbwembwe alizoanza nazo mwezi wa pili jumlisha na tulivyodanganywa miaka kwa miaka kuwa ni supa pawa,hungefikiri kama ukraine angetoboa mwezi.
NATO SYRIA walipigwa na Putin ,Iraq iliipiga NATO 1990- 1991 Acha ushabiki Ukraine ardhi yake km² 60000 IBS urusi anajipigia anapotaka pamoja na Ukraine kupewa mitambo na siraha za NATO. SYRIA km 185000 NATO walipigana na SYRIA miaka 10 URUSI NDIO ALIWAFANYA NATO WAKIMBIE
 
Umeandika hivi kutoka msikiti gani hapo kremlin?
 
Inaonekana drone ni changamoto kunaswa.

Inasemekana, hiyo drone ya Ukrain ilitembea chinichini ili isionwe na hiyo mifumo ya ulinzi!

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app

Kwa kifupi hiyo ni message sent and delivered, Mrusi anaonyeshwa kwamba yeye kwa kupenda kushambulia maeneo ya wananchi kwa drones za Iran, ajue sio kwamba Ukraine hawana uwezo huo, drone yao inakatiza 600km ndani kwa ndani....
 
Uzuri niliacha kusoma zile nyuzi za Warusi wa kwa Mpalange waliniaminisha Urusi ipo sawa sana nilipokuja kuwafatilia nikagundua ni wahuni tuu...ila wale wazee wa kwa Mpalange wana kila aina ya siraha saa hizi tunasikia mara kapewa mzigo kutoka Iran mara NK..
 
Back
Top Bottom