kikiboxer
JF-Expert Member
- Dec 22, 2017
- 3,668
- 9,809
Propaganda zipi mkuu? Watu wanakimbia nchi yao huko hawataki mobilization.Hizi taarifa za upande mmoja huwa hazina ladha.
Wangeruhusu RT itoe za upande wa pili ili sisi walaji tuone uhalisia.
Vita hii wamarekani wanapigana zaidi kwenye media kuliko uhalisia ulioko kwenye uwanja wa vita.
Ukweli ni kwamba wanajeshi wengi wa urusi 'wanakata kamba' huko front line hakuna propaganda hapo.