Propaganda zipi mkuu? Watu wanakimbia nchi yao huko hawataki mobilization.Hizi taarifa za upande mmoja huwa hazina ladha.
Wangeruhusu RT itoe za upande wa pili ili sisi walaji tuone uhalisia.
Vita hii wamarekani wanapigana zaidi kwenye media kuliko uhalisia ulioko kwenye uwanja wa vita.
Inawezekana upo sahihi kuhusu taarifa za upande mmoja lkn mbona bado Russia wanashindwa kuitwaa UkraineHizi taarifa za upande mmoja huwa hazina ladha.
Wangeruhusu RT itoe za upande wa pili ili sisi walaji tuone uhalisia.
Vita hii wamarekani wanapigana zaidi kwenye media kuliko uhalisia ulioko kwenye uwanja wa vita.
Kwani RT, amezuiwa duniani kote, mbona wengine tunaitazama?lakini huko nako ni propaganda tu, za upande wao, tena zile za mahaba niue.Hizi taarifa za upande mmoja huwa hazina ladha.
Wangeruhusu RT itoe za upande wa pili ili sisi walaji tuone uhalisia.
Vita hii wamarekani wanapigana zaidi kwenye media kuliko uhalisia ulioko kwenye uwanja wa vita.
Hilo ni swali la msingi sana. Ila hebu ligeuze liwe, 'Kama Urusi imeelemewa kiasi hicho mbona wameshindwa kuwatoa Ukraine?'Inawezekana upo sahihi kuhusu taarifa za upande mmoja lkn mbona bado Russia wanashindwa kuitwaa Ukraine
Nenda Libya kaangalie alivyoleta ustaarabu!Nenda Iraq na Afghanistan kaangalie Huo ustaarabu wake ulivyo!Marekani ndiye kiranja bora duniani, ameleta ustaarabu wa hali ya juu.
Ona Putini na mrusi wenu anaamka tu na kuvamia na kuua bila sababu
Mkuu huko koote lengo ilikuwa kudhoofisha wafadhili wa wale wa misimamo mikali na magaidi yaliyotishia amani ya dunia.Nenda Libya kaangalie alivyoleta ustaarabu!Nenda Iraq na Afghanistan kaangalie Huo ustaarabu wake ulivyo!
Endelea kuota ndugu........... way forward kwa sasa ni kumng'olea mbali fashisti na genge lake lote linaoloona Russia kama mali yao na kuweka utawala wa kidemokrasia. Ukisikia jambo limezua jambo ndio kama hivyo!
Sio wote wanao mpinga Mrusi wapo upande wa Marekani na hapo ndipo wengi mnapokesea Pro-Rusia. Tunampinga Mrusi kwa uonevu wake dhidi ya Taifa huru la Ukraine. Marekani walipo ivamia Iraq tuliwapinga hivihivi na pengine kwa nguvu kubwa zaidi. Tatizo baadhi yenu mnachagua upande kama mnavyo fanya kwa Simba na Yanga. Kwa hiyo ndugu yangu pamoja na kwamba tunajua USA ni wakorofi na wauaji lakini kwa wakati huu maadam wako upande wa mnyonge anaye onewa dhahiri basi wapenda haki tunawaunga mkono.sielewe kwanini mnamtetea mmarekani ilihali ni muanzilishi na mchochezi wa kila vita na machafuko duniani
Dada wenzako wanapikia wamezao mda huu [emoji23][emoji16][emoji6] I thinkTeteteteeee....namcheka putin kwa dharau
Vita hii ndio inahitinisha utawala wa Putin nchini Russia.
Kwa mwarabu kufa kwao wanaita ni suna, na wanaenda peponi ndio maaana marekani amewatengenezea njia ya kwenda mbinguni ili sawabu kwa mungu waoNenda Libya kaangalie alivyoleta ustaarabu!Nenda Iraq na Afghanistan kaangalie Huo ustaarabu wake ulivyo!