Yule mSenegali wa ICC alipokuja hapa, alikuja kwa sababu gani na alikutana na nani?
Alialikwa na hao waovu ili wajisafish na kulipiwa gharama zote za kuja kutalii hapa?e?
Alikutana na Chande mpiga deki na kuficha damu ya waTanzania iliyomwagwa?
Aliambatana na ujumbe wa watu wangapi, toka wapi
Hawa watu wanachezea akili za waTanzania.
Ndiyo maana ni muhimu sana safari hii kuitikia wito wa vuguvugu la kuondoa takataka hizi sisi wenyewe.
Tusiwategemee hawa watalii wanaokuja hapa kuungana na waovu wanaotukandamiza.
Hii ni kazi yetu, ni lazima tuifanye sisi wenyewe.