mdukuzi
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 20,925
- 51,688
Jumamosi iliyopita nilihudhuria ibada ya ndugu zangu wasabato wa mwaliko wa bibie mmoja. Nimezoea nyumba nyingi za ibada kukutana na neno ZIMA SIMU, ila nikashangaa humo kanisani wakati wa ibada waumini wako busyna simu, kumbe wanasoma biblia kupitia App ya Biblia kwenye simu zao.
Kwangu mimi niona sio sahihi kwa sababu zifuatazo.
1. Ni ngumu kubaini kuwa muumini yuko busy na simu kwa mambo yake binafsi au anadoma biblia.
2. Unaweza kuwa unasoma biblia kupitia App mara ikaingia meseji ya mchepuko, Msiba, deni, Viccoba, Songesha nk na kukutoa kwenye concentration ya ibada.
3. Simu zetu zina mambo mengi machafu kuanzia picha na sms,kuchanganya huo uchafu na neno la Mungu inatia ukakasi.
Biblia maana yake ni Kitabu, ni kweli technolojia impunguza matumizi ya karatasi butnot to that extent, biblia ya makaratasi ni zaidi ya kitabu, mimi nimilala huwanaiweka chini ya mtona hukuna mchawi wala ndoto mbaya sijui majinamizi yatakayonisogelea.
Kuna watu wakati wa maombi ukiwaelekezea biblia wanakipuka mapepo,sasani pepo gani utalielekezea simu kikaigopa.
Huo ni mpango wa mwovu shetani kuifanya biblia itowekebaada ya miaka kadhaa,tujikute tuna soft copy tu ya biblia bila hii ya makaratasi,historia inainyesha huko nyuma biblia chupuchupu kutoweka duniani,zilibaki nakala chache sana,wazungu wakaziprinti nyingi kwa hasira kwa kila lugha.
Wasabato naongea na ninyi hapo vipi.