N Nyumisi JF-Expert Member Joined Nov 10, 2010 Posts 13,499 Reaction score 19,292 Jan 16, 2025 #41 Robert Heriel Mtibeli said: Ellen White sio Nabii Click to expand... Kwani yeye ni nani, mbona anachukuliwa kama nabii na hata maandiko yake yamekaa kinabii
Robert Heriel Mtibeli said: Ellen White sio Nabii Click to expand... Kwani yeye ni nani, mbona anachukuliwa kama nabii na hata maandiko yake yamekaa kinabii
Robert Heriel Mtibeli JF-Expert Member Joined Mar 24, 2018 Posts 28,297 Reaction score 68,017 Jan 16, 2025 #42 Nyumisi said: Kwani yeye ni nani, mbona anachukuliwa kama nabii na hata maandiko yake yamekaa kinabii Click to expand... Nafikiri yeye ni Mtumishi wa Mungu mwenye uwezo wa kuchambua unabii. Lakini kusema ni Nabii nakataa.
Nyumisi said: Kwani yeye ni nani, mbona anachukuliwa kama nabii na hata maandiko yake yamekaa kinabii Click to expand... Nafikiri yeye ni Mtumishi wa Mungu mwenye uwezo wa kuchambua unabii. Lakini kusema ni Nabii nakataa.
Mzalendo Uchwara JF-Expert Member Joined Jan 26, 2020 Posts 4,437 Reaction score 13,836 Jan 16, 2025 #43 Makanyaga said: Kupaa Mbinguni kwa Yesu itakuwa siyo fact iwapo tu utaweza kutoa proof inayoonyesha kuwa Yesu hajawahi kuwepo hapa duniani Click to expand... Mbinguni ni wapi? Maana watu wameshapaa mpaka anga za mbali na hakuna dalili la mbigu huko.
Makanyaga said: Kupaa Mbinguni kwa Yesu itakuwa siyo fact iwapo tu utaweza kutoa proof inayoonyesha kuwa Yesu hajawahi kuwepo hapa duniani Click to expand... Mbinguni ni wapi? Maana watu wameshapaa mpaka anga za mbali na hakuna dalili la mbigu huko.
Makanyaga JF-Expert Member Joined Sep 28, 2007 Posts 11,129 Reaction score 7,321 Jan 17, 2025 #44 Mzalendo Uchwara said: Mbinguni ni wapi? Maana watu wameshapaa mpaka anga za mbali na hakuna dalili la mbigu huko. Click to expand... Utoto
Mzalendo Uchwara said: Mbinguni ni wapi? Maana watu wameshapaa mpaka anga za mbali na hakuna dalili la mbigu huko. Click to expand... Utoto
Makanyaga JF-Expert Member Joined Sep 28, 2007 Posts 11,129 Reaction score 7,321 Jan 17, 2025 #45 Mzalendo Uchwara said: Mbinguni ni wapi? Maana watu wameshapaa mpaka anga za mbali na hakuna dalili la mbigu huko. Click to expand... https://www.google.com/url?sa=t&source=web&rct=j&opi=89978449&url=https://www.britannica.com/topic/observable-universe%23:~:text%3DThis%2520means%2520that%2520the%2520observable,billion%2520light%252Dyears%2520in%2520diameter.%26text%3DGiven%2520the%2520constant%2520expansion%2520of,light%252Dyear%2520every%2520Earth%2520year.&ved=2ahUKEwiO6t-Mt_uKAxXpV0EAHW23G-wQFnoECCIQBQ&usg=AOvVaw31B8HQeIptc_wtqnKUiOYM
Mzalendo Uchwara said: Mbinguni ni wapi? Maana watu wameshapaa mpaka anga za mbali na hakuna dalili la mbigu huko. Click to expand... https://www.google.com/url?sa=t&source=web&rct=j&opi=89978449&url=https://www.britannica.com/topic/observable-universe%23:~:text%3DThis%2520means%2520that%2520the%2520observable,billion%2520light%252Dyears%2520in%2520diameter.%26text%3DGiven%2520the%2520constant%2520expansion%2520of,light%252Dyear%2520every%2520Earth%2520year.&ved=2ahUKEwiO6t-Mt_uKAxXpV0EAHW23G-wQFnoECCIQBQ&usg=AOvVaw31B8HQeIptc_wtqnKUiOYM