Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haki wanapatiwa Hamas kule Gaza.
Maswala ya dini yapo kiimani mkuu lakini ukiomba USHAHIDI Tyr ushatoka kwenye Imani Sasa. Ni sawa na wewe kuombwa USHAHIDI wa uwepo wa MunguHata asipokujibu hilo lako, bado hiyo haimaanishi kuwa la Wasabato litakuwa limejibiwa
Yesu alizaliwa, akaishi hapa duniani na hatimaye alipaa mbinguni. Hizi ni facts za dini, siyo imaniKama dini zingekuwa na 'ushahidi' zisingehitaji imani. Hakuna dini wala dhehebu lanye ushahidi wowote. Wote ni imani tu!
Imani ni Sayansi inayoitwa Spritual science; unamanisha nini unaposema imani siyo sayansi?IMANI SIYO SAYANSI
Hapana; you are overlooking the facts!Ukifa biashara imeisha.,..hakuna kufufuliwa Tena au kwenda sijui wapi...hizo hadidhi za dini NI kupunguza uovu duniani.,.
Mathayo 22:30 -Kwa maana katika kiyama hawaoi wala hawaolewi, bali huwa kama malaika mbinguniNje na wasabato kama wewe ni mkristo kama mimi hapa naomba ushahidi kuwa mbinguni hatuoa wala kuolewa
mbinguni hakutakuwa na jua wala mwezi.Lete ushahidi usio na shaka juu ya mambo hayo mawili tu kati ya mengi.
NB:Unaushahidi gani kuwa dhambi zako husamehewa kila unapotubu?
Huo ndo ushahidi?Ushahidi ni kuthibitisha pasina shaka yoyote kweli kuwa mbinguni hawaoi sio kunukuu andiko lenye utata na maswali mengi.Ulipaswa usimame kwa kusema nimeishi mbinguni sikuwahi kuona watu wakiolewa ama kuolewa na ushahidi ni huu hapa unathibitisha kwa baadhi ya wakazi wa mbinguni ambao hawajawahi oa wala kuolewaMathayo 22:30 -Kwa maana katika kiyama hawaoi wala hawaolewi, bali huwa kama malaika mbinguni
Nimekupa uthibitisho wa neno alilolitamka yule aliyetoka mbinguni ambaye tunaye mwamini yaani Yesu Kristo. Hakuna mwingine na hatakuwepo mwingine atakaye leta kitu kipya au fundisho jipya tofauti na la Yesu akaelewekaHuo ndo ushahidi?Ushahidi ni kuthibitisha pasina shaka yoyote kweli kuwa mbinguni hawaoi sio kunukuu andiko lenye utata na maswali mengi.Ulipaswa usimame kwa kusema nimeishi mbinguni sikuwahi kuona watu wakiolewa ama kuolewa na ushahidi ni huu hapa unathibitisha kwa baadhi ya wakazi wa mbinguni ambao hawajawahi oa wala kuolewa
Kupaa mbinguni ni fact?? Unanichekesha.Yesu alizaliwa, akaishi hapa duniani na hatimaye alipaa mbinguni. Hizi ni facts za dini, siyo imani
Yesu atarudi tena; hii ndiyo imani
Ukiangalia vizuri, facts za dini zipo nyingi zaidi kuliko imani. Ni swala la watu kuwa na akili ndogo ndiyo lille linakopelekea wadhani kuwa kwenye dini hakuna facts
Huo sio uthibisho unayepaswa kuthibitisha pasina shaka niwewe mwenyewe uliyeona ama kushiriki kwa namna moja ama nyingine.Nimekupa uthibitisho wa neno alilolitamka yule aliyetoka mbinguni ambaye tunaye mwamini yaani Yesu Kristo. Hakuna mwingine na hatakuwepo mwingine atakaye leta kitu kipya au fundisho jipya tofauti na la Yesu akaeleweka
Heri ya mwaka mpya rubiiNgoja kupambazuke
Asante mkuu, heri kwako piaHeri ya mwaka mpya rubii
Kupaa Mbinguni kwa Yesu itakuwa siyo fact iwapo tu utaweza kutoa proof inayoonyesha kuwa Yesu hajawahi kuwepo hapa dunianiKupaa mbinguni ni fact?? Unanichekesha.
Wadau hamjamboni nyote?
Tafakuri ya kina kwa wanatheolojia na wenye ilimu wote
Karibuni tujifunze
Kama Ellen G. White alitabiri tarehe ya mwisho wa dunia na haikutokea, hii haiwezi kuondoa credibility ya yeye kuwa nabii wa kweli wa Mungu, ukizingatia maandiko yanavyosema kwamba nabii wa kweli atathibitika kwa unabii wake kutokea, wasabato njooni mjibu hili.