Wasabato leteni ushahidi kimaandiko kuthibitisha Nabii Ellen G White alipokea kutoka kwa Mungu njozi na ndoto 2,000 ndani ya miaka 70 ya uhai wake?!

Wasabato leteni ushahidi kimaandiko kuthibitisha Nabii Ellen G White alipokea kutoka kwa Mungu njozi na ndoto 2,000 ndani ya miaka 70 ya uhai wake?!

Kama dini zingekuwa na 'ushahidi' zisingehitaji imani. Hakuna dini wala dhehebu lanye ushahidi wowote. Wote ni imani tu!
Yesu alizaliwa, akaishi hapa duniani na hatimaye alipaa mbinguni. Hizi ni facts za dini, siyo imani
Yesu atarudi tena; hii ndiyo imani
Ukiangalia vizuri, facts za dini zipo nyingi zaidi kuliko imani. Ni swala la watu kuwa na akili ndogo ndiyo lille linakopelekea wadhani kuwa kwenye dini hakuna facts
 
Ukifa biashara imeisha.,..hakuna kufufuliwa Tena au kwenda sijui wapi...hizo hadidhi za dini NI kupunguza uovu duniani.,.
Hapana; you are overlooking the facts!
Kifo ni ile hali ya mwili kutengana na roho, yaani mwili unaanza kuishi peke yake na roho nayo inaanza kuishi peke yake
Nje ya mwili wewe ni nafsi iliyo hai na ndiyo maana huwa wakati mwingine unasema maneno kama mwili wangu, mkono wangu, akili yangu., roho yangu.... Ukishasema mwili wangu, inamaanisha kuwa wewe siyo mwili, au ukishasema kalamu yangu, inamaanisha kuwa wewe siyo kalamu
Anayemiliki vyote hivi ni nafsi yaani nafsi yako
Mwili wako utakopkuwa umekufa, roho yako itabaki na itandelea kuishi maisha mengine yaliyo nje ya mwili
Unless kama utaniambia kuwa roho yako itakapkuwa imeotengana na mwili; haitaweza tena kuji-identify na wewe, yaani haitaweza kujua kuwa wakati ilipokuwa inaishi ndani ya mwili wako, ilikuwa inasihi IKIWA NI WEWE
Kwa hiyo Life after death ni fact na wala siyo imani isipokuwa tu wote hatujui maisha hayo yatakuwa yakoje
Kwa hiyo unapokuwa umepata nafasi ya kutenda jambo, tenda JAMBO LILILO JEMA. BY THE WAY, why do evil acts, wakati unaweza kutenda mema?
 
Nje na wasabato kama wewe ni mkristo kama mimi hapa naomba ushahidi kuwa mbinguni hatuoa wala kuolewa
mbinguni hakutakuwa na jua wala mwezi.Lete ushahidi usio na shaka juu ya mambo hayo mawili tu kati ya mengi.

NB:Unaushahidi gani kuwa dhambi zako husamehewa kila unapotubu?
Mathayo 22:30 -Kwa maana katika kiyama hawaoi wala hawaolewi, bali huwa kama malaika mbinguni
 
Mathayo 22:30 -Kwa maana katika kiyama hawaoi wala hawaolewi, bali huwa kama malaika mbinguni
Huo ndo ushahidi?Ushahidi ni kuthibitisha pasina shaka yoyote kweli kuwa mbinguni hawaoi sio kunukuu andiko lenye utata na maswali mengi.Ulipaswa usimame kwa kusema nimeishi mbinguni sikuwahi kuona watu wakiolewa ama kuolewa na ushahidi ni huu hapa unathibitisha kwa baadhi ya wakazi wa mbinguni ambao hawajawahi oa wala kuolewa
 
Nimekupa uthibitisho wa neno alilolitamka yule aliyetoka mbinguni ambaye tunaye mwamini yaani Yesu Kristo. Hakuna mwingine na hatakuwepo mwingine atakaye leta kitu kipya au fundisho jipya tofauti na la Yesu akaeleweka
 
Yesu alizaliwa, akaishi hapa duniani na hatimaye alipaa mbinguni. Hizi ni facts za dini, siyo imani
Yesu atarudi tena; hii ndiyo imani
Ukiangalia vizuri, facts za dini zipo nyingi zaidi kuliko imani. Ni swala la watu kuwa na akili ndogo ndiyo lille linakopelekea wadhani kuwa kwenye dini hakuna facts
Kupaa mbinguni ni fact?? Unanichekesha.
 
Nimekupa uthibitisho wa neno alilolitamka yule aliyetoka mbinguni ambaye tunaye mwamini yaani Yesu Kristo. Hakuna mwingine na hatakuwepo mwingine atakaye leta kitu kipya au fundisho jipya tofauti na la Yesu akaeleweka
Huo sio uthibisho unayepaswa kuthibitisha pasina shaka niwewe mwenyewe uliyeona ama kushiriki kwa namna moja ama nyingine.

Ukisema hivyo wapo wengine wanaamini binadamu tumetokana na nyani na wanakuwa na sababu zao.

Mleta mada hana hoja mambo ya imani ni ya imani hayahitaji ushahidi ni sawa kukataa kuwa mwamposa sio mtume/nabii na ukaomba ushahidi
 
Huyo mwamba kuna kitabu kakiandika kinaitwa YOUR HOME & HEALTH, aise ukikisoma nje ya muktadha wa dini ni madini matupu....
 
Kama Ellen G. White alitabiri tarehe ya mwisho wa dunia na haikutokea, hii haiwezi kuondoa credibility ya yeye kuwa nabii wa kweli wa Mungu, ukizingatia maandiko yanavyosema kwamba nabii wa kweli atathibitika kwa unabii wake kutokea, wasabato njooni mjibu hili.
 
Ellen White sio Nabii
 
Back
Top Bottom