bongo dili
JF-Expert Member
- Feb 13, 2015
- 12,350
- 25,180
Hili ni kaburi la Bi Hellen G White lina mnara wa Obelisk.Ukiona mnara wowote round about unamaanisha kiungo cha uzazi Cha kiume Cha Nimrodi.
Nimrod mtoto wa haramu ndie aliyejenga mnara WA babel kisha Mungu akawachanganyia lugha wakasambaa duniani.
Baada ya Nimrodi kuuwawa kwa kukatwa katwa viungo vyake wafuasi wake wakavikusanya viungo vyake vyote wakavizika isipokuwa kiungo kimoja cha uzazi cha kiume hakikupatikana.
Wakaamua kujenga mnara huwa juu una pembe tatu (obelisk) au mshumaa vyote uwakilisha maana Moja.
Wafuasi wake wakasambaa Dunia nzima wakiendeleza dini ya babel kwa kujenga minara kila miji.
Bi HG White alikuwa mwana matayarisho sasa iweje kaburi lake hata lile la muasisi wa Mashahidi wa Jehovah yawe na minara ya dini ya kale ya babeli ambayo siku hizi inaitwa freemason?