Uzalendo wa Kitanzania
JF-Expert Member
- Mar 8, 2020
- 3,585
- 8,106
Wadau hamjamboni nyote?
Huu ni ushauri wa kiroho na kumbusho la msingi kwa Wasabato ulimwenguni kote kuzingatia majukumu na maelekezo ya msingi ya Bwana wetu Yesu Kristo.
Nimezingatia maandiko matakatifu na wala sikusudii kufanya shambulizi dhidi ya taasisi ya kisabato
Wasabato tunao watu zaidi ya billion 3 wasiomjua Kristo duniani kote hivyo ni vema Kanisa likajikita kuwafundisha na kuwafanya watu hao wampokee Kristo awe bwana na mwokozi wao
Nguvu kubwa ya Kanisa ielekezwe kwenye kuhubiri injili na kuokoa roho zilizo gizani badala ya kuzitumia kushambulia taasisi ya roman Katoliki
Waamini wengi wa kisabato wamepoteza uelekeo na mioyo yao imejazwa sera za chuki dhidi ya taasisi Katoliki na makanisa mengine yanayoabudu Jumapili
Kwa Msabato ni muhimu zaidi kuhubiri chuki dhidi ya wanaoabudu Jumapili kuliko kutumia rasilimali zao kuwahubiri na kuwaokoa kupitia injili wale wasiomjua Kristo
Itakuwa ni furaha kubwa na shangwe mbinguni na duniani pale tutakapoifanya kazi tuliyotumwa na mwokozi wetu.
Uongozi Kanisa la Wasabato tushirikiane kuhubiri injili tuokoe kondoo waliopotea kabla ya marejeo ya Kristo
Taasisi zote zinazoabudu Jumapili hao tayari walishakiri kwa vinywa vyao kuwa Kristo ndiye Bwana hao hivyo tuwe nao sambamba kuwahubiri wale wasiomjua Kristo
Niwatakie siku njema
Takwimu rasmi
Projected size of major religious groups for 2023[1]
ReligionPercent
Christianity- 30.7%
Islam- 24.9%
Unaffiliated-15.6%
Hinduism-15.1%
Buddhism - 6.6%
Folk religions - 5.6%
Sikhism- 0.3%
Other religions-1.2%
Waislamu jumla 1.8 billion
Wahindu jumla 1.2 billion