Wasabato wameongezeka kuliko Walokole nchini...

FrankLutazamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2018
Posts
448
Reaction score
409
Ukizunguka mjini siku ya Ijumaa Jioni na Jumamosi Utaona sehemu kubwa ya maduka yamefungwa kama sehemu ya imani yao na watu
wengi kukiri waumini hao wamekuwa wengi kuliko walokole ambao siku za hivi karibuni wamekuwa wakibakia Majumbani nà kusali kwa luninga na radio kama nchi za Ulaya au Magharibi.

Instagram:kaukwaju
 
Based on research ipi? usije kuwa umefanya research dar halaf unadhan kwingine kuko hivyo hivyo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Based on research ipi? usije kuwa umefanya research dar halaf unadhan kwingine kuko hivyo hivyo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Its the same when you say'colonial education kills themselves'i mean that preachers have good will to use TV and radio but It will be better if they use on working days except on Sunday in order to make members to join on Church,and record Sunday's prichers
 
Inawezekana watu wameielewa vizuri soma Luka 4:16 Yesu alichokuwa anafanya siku ya Sabato.
 
Huu nao ni upuuuziii.....labda ungesema ambao hatuna Dini tumeongezeka,ila walokole bado ni wengi kuliko wasabato,angalia makanisani huko utajua ukweli,karibia kila kata kuna makanisa ya walokole zaidi ya moja na watu full,wasabato je wana makanisa mangapi!??
 
Kila kona wanayo wasbato
 
You know something next to nothing! Mpaka kwenye dini mnapiga propaganda siku hizi kama vipi anzisheni vitengo vya itikadi na uenezi.Mtaanza kununua waumini muda si mrefu.
 
Sio kweli walokole wanabeba watu kutoka kila corner,sababu kuu ni kuwaaminisha au kutatua shida zao..Mitume na manabii wanafungua makanisa kila leo hata manyumbani
Kuhusu jmosi Walokole wanazo ibada mpaka katikati ya wiki sababu ushindani wao mkubwa na kukusanya zaidi Money
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…