Wasafi best presenter imejaa ukilitimba

Wasafi best presenter imejaa ukilitimba

Ujinga mtupu

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2017
Posts
887
Reaction score
2,010
Habari za Jioni.

Kuna clips zinasambaa mtandaoni zinazohusiana na kipindi kipya cha Wasafi Fm na Tv walichoanzisha chenye jina la Best Presenter.

Hili shindano lina mapungufu mengi sana naomba nitaje machache.

1. Sijui wanajiita majaji wako wakina baba levo na wenzake wamejaa jeuri na dharau za kwenda juu zenye kuwakatisha tamaa vijana watafutaji.,hasa baba levo ni mropokaji sana na pia wajaji karibia wote sidhani kama wana elimu ya utangazaji zaidi ya uzoefu.

2. Lugha mbaya kwa washiriki,

3. Vijana wanaonekana wana vipaji kuwazidi wao wanawakatisha tamaa kimakusudi.

Itoshe kusema shindano ni la kuangaliwa upya maana haieleweki wanachokitafuta.

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Sijui wanajiita majaji wako wakina baba levo na wenzake wamejaa jeuri na dharau za kwenda juu zenye kuwakatisha tamaa vijana watafutaji.,hasa baba levo ni mropokaji sana na pia wajaji karibia wote sidhani kama wana elimu ya utangazaji zaidi ya uzoefu.[emoji2827]
 
Hakuna majaji hapo..
 
Mtu na demu wake wote majaji, maamuzi yao lazima yawe biased
 
Back
Top Bottom