Wasafi festival Iringa kwa online

Wasafi festival Iringa kwa online

Ehee kumbe walikuwa na Tamasha Iringa hao wachafu? Mbona la Iringa sijalisikia kabisa au kulikuwa hakuna ushindani na MOJA KUBWA? Kweli nimeamini WACHAFU wanapenda Kiki Sana........#Utajibiwa_kama_utakavyokuja.
 
Kitu kipya hapo ni jina tu la Tamasha.

Lakini wasanii ni wazoefu wa matamasha na

Na waandaaji wanaweza kuwa wazoefu.

Kama CEO wa Prime Time Promotions kampuni iliyoandaa matamasha yote ya Fiesta ndio ana 53% hisa Wasafi TV kwanini tusifikirie kuwa yeye ndiye mwandaaji pia wa Wasafi Festival ?
Umeandika vitu vingi ambavyo hata havinihusu mkuu maswala ya CEO sijui Hisa mimi huko hapana sio kabisa.
 
😂😂😂😂😂...

Haya nijibu nlivyokuja.

We jamaa sijui wasafi walikukosea nini!??

Yani kama sio Ruge wewe basi tu..
 
Umeandika vitu vingi ambavyo hata havinihusu mkuu maswala ya CEO sijui Hisa mimi huko hapana sio kabisa.
Unalazimisha kupata jibu lisilokuhusu. Dawa yako ni MOJA, Nimekupuuza.
 
Kitu kipya hapo ni jina tu la Tamasha.

Lakini wasanii ni wazoefu wa matamasha na

Na waandaaji wanaweza kuwa wazoefu.

Kama CEO wa Prime Time Promotions kampuni iliyoandaa matamasha yote ya Fiesta ndio ana 53% hisa Wasafi TV kwanini tusifikirie kuwa yeye ndiye mwandaaji pia wa Wasafi Festival ?
Ukiambiwa uthibitishe utathibitisha? Ama unafuata maneno ya mtumwa wa mzungu wa kuliwa nyuma mange kimambi?
 
😂😂😂😂😂...

Haya nijibu nlivyokuja.

We jamaa sijui wasafi walikukosea nini!??

Yani kama sio Ruge wewe basi tu..
Hahahahaha hawajanikosea kitu mkuu,sio wasafi au wachafu,sio ruge wala singasinga seth,sio kiba wala tembo natoa maoni kwa wote hao sina timu yeyote ya hao watu,natoa maoni kwa yeyote ya hao watu japo inaweza ikafurahisha au kutofurahisha moja ya hayo makundi.
 
😂😂 King Kong mwenye wivu bila shaka ushawahi kushea bwana na dada ako🤗,marinda yapo?
Muulize Basha wako anayewalipa kuja kumtetea mitandaoni kama anayo marinda,juzi juzi Dudubaya alimsema kuhusu tabia yake ya kuvaa vikuku na leo amemchukua kwenye matamasha yake na analala nae hotel moja,na moja ya sifa ya dudubaya ni kufukua mitaro,acheni hiyo tabia nyinyi wachafu.
 
U got nothing rather than shithole mind,jealous,hate like ur dada stole from you a hub from WCB...zamani nilikuwa nakuona nigger flan hivi but these days i've come to realize that u'r very weak hidding behind strong name King Kong,this time no more word with you light sweet freaking King Kong😂😂 have a great sunday👋
 
Back
Top Bottom