Wasafi Festival....Live!!

Wasafi Festival....Live!!

donlucchese

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2011
Posts
17,128
Reaction score
21,885
Naangalia kwenye TV hapa. So far naona Jay Melody ndio amewakuna mashabiki na Barnaba kidogo. Zuchu naona kama ana force kingi kwa mashabiki. Ngoja tuendelee kuona
 
Naangalia kwenye TV hapa. So far naona Jay Melody ndio amewakuna mashabiki na Barnaba kidogo. Zuchu naona kama ana force kingi kwa mashabiki. Ngoja tuendelee kuona
Sa mbona Zuchu ana gundu? Maana kaingia tu na matangazo yakakatika, so sorry!
 
Niliangalia usiku umeme ulikatka huko mtwara wakasema watakua live mchana wa leo saa 9arasili
 
Watu wanaanzisha tamasha halafu umeme unakatika wanasema watafanya Leo hivi zile sifa zote za kusema Wana hela walikosa jeneleta la backup kweli
 
Back
Top Bottom