donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,128
- 21,885
Naangalia kwenye TV hapa. So far naona Jay Melody ndio amewakuna mashabiki na Barnaba kidogo. Zuchu naona kama ana force kingi kwa mashabiki. Ngoja tuendelee kuona
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sa mbona Zuchu ana gundu? Maana kaingia tu na matangazo yakakatika, so sorry!Naangalia kwenye TV hapa. So far naona Jay Melody ndio amewakuna mashabiki na Barnaba kidogo. Zuchu naona kama ana force kingi kwa mashabiki. Ngoja tuendelee kuona
Kweli aisee tena sio gundu ni GUNDUMSa mbona Zuchu ana gundu? Maana kaingia tu na matangazo yakakatika, so sorry!
Mpaka saivi hamna mishe wana mbwella tu kurudia events za last nightNiliangalia usiku umeme ulikatka huko mtwara wakasema watakua live mchana wa leo saa 9arasili
Ndio hapo sasaWatu wanaanzisha tamasha halafu umeme unakatika wanasema watafanya Leo hivi zile sifa zote za kusema Wana hela walikosa jeneleta la backup kweli
Hii show yao sijui kuna shida gan mziki unakata kila.saaSa mbona Zuchu ana gundu? Maana kaingia tu na matangazo yakakatika, so sorry!