mkaamweusi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2013
- 618
- 824
Wasafi Muziki wenu mzuri,una midundo mingi nimebahatika kuhudhuria Nangwanda Sijaona,sound system iko very Poor! Jipangeni next time.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uwanja mweupeVip wamejaza?
Uwanja mweupe
hakuna aliyehudhuria
Hakuna aliyehudhuria je hata waandaaji hawapo? Umevimbiwa mabibo wewe?..Uwanja mweupe
hakuna aliyehudhuria
hater!Wasafi Muziki wenu mzuri,una midundo mingi nimebahatika kuhudhuria Nangwanda Sijaona,sound system iko very Poor! Jipangeni next time.
Mkuu wame jaza kweliMnaosema kweupe mnaangalia kwenye zile TV za black and white. Ila mziki ni tatizo la matamasha mengi, tz hatuna watu wazuri wa sound engineering.
Ahahaaah.Uwanja mweupe
hakuna aliyehudhuria
Shonza na Mungereza wamefungua show.Mkuu wame jaza kweli
Kaboba unanikosea mkuu,nawapenda sana hawa Jamaa,ni very creative,hater!
Watu wanejaaa Sana, hata huku nje watu wanapigana vikumbo,ulinzi ni heavy.Mkuu wame jaza kweli
Hapa uwanjani yupo diamond na vijana wake wachache tu.Hakuna aliyehudhuria je hata waandaaji hawapo? Umevimbiwa mabibo wewe?..
Tunamfungulia dunia kuwa kile anachokitaka.Ahahaaah.
Umemjibu alichotaka kusikia.