Wasafi festival vs Tigo fiiesta,tuacheni masihara

Wasafi festival vs Tigo fiiesta,tuacheni masihara

eastmea

Senior Member
Joined
Jul 28, 2018
Posts
159
Reaction score
133
Kiukweli nimekuwa mfatiliaji wa haya matamasha lakini tuacheni ushabiki wasafi festival ndio tamasha bora kwa mwaka huu hii ni kutokana na A list ya wasanii wanaofanya vizuri mwaka huu kiribia wote wanatoka wasafi alafu katika swala la mauzo ya ticket wasafi ndio wanaoongoza kwanii ukifatilia hata picha za matamasha yao zinapigwa kwa juu (vertical) na kuonesha idadi kamili ya watu lakini nimefatilia picha za fiesta zinapigwa kwa upande upande zikificha sehemu nyingine. Hasa fiesta ya dar haupishani na wasafi festival iliofanyika Zanzibar ile siku ya jumanne
Ngoja tusubirie hio wasafi festival itskayofanyika dar,tarehe 12 alafu tulinganishe vizuri ila kiukweli mpaka hapa tulipofikia wasafi festival ndio bingwa
tapatalk_1545567169593.jpg
IMG_20181125_104051_755.jpg
 
Hv wasanii wakubwa ni konki master sio???sawa na boss wenu ameshafunguliwa..uzuri mwisho wa siku kwokwote shilingi inapodondokea kusaga atapiga tu ela yake
 
Bongofleva ni ya Wasafi kwa sasa, clouds wataendelea kuaibika wakifikiri wataweza shindana na Wcb.

WCB Wasafi hipo kwenye damu na mioyo ya watanzania, its too late kwa clouds kurudisha mashabiki damu wa kipindi kile.

Sanaa imezaliwa upya, na chibu ndio baba.
 
Nina wasiwasi na hiyo hipo kama ni kiswahili sanifu.
 
Mimi nasema hivi ; Ukimkuta kuku kwa mganga juwa kilichomponza ni rangi yake.

Wala sio kingine aisee.
 
Yote kwa yote pambania familia yako maingizo ya wasafi yatabaki kuwa ya wasafi
 
Back
Top Bottom