kapuku94
Member
- Nov 7, 2018
- 66
- 69
Tamasha la wasafi festival limefanikiwa Kwa kiwango cha juu.hi inatokana kuwa Na wasanii wenye mvuto Na ushawishi kwenye jamii .
Pia artists walio kwenye record label ya wasafi wanajitahidi ku promote tamasha . Mfano kondeboy harmonize watu wa mtwara wamempokea vizuri sana.
Itakuwa ivo ata mbeya Kwa kina mbombo ngafu watampokea rayvann Kwa shangwe naisi wata mpatia gunia la maharagwe
TAZAMA MATUKIO KWA PICHA