Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 301,221
- 1,172,274
Kule kule ulipoanzia
Hebu ona sasa ulipofika tena
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hebu ona sasa ulipofika tena
Hautohamini utachoona kesho.bora yeye Soudy anajulikana ni mmbea by profession ila sio kina Tale na mavitambi yao.
Ni shidaaaaaa
Kama iringa tar#30 watapokelewa Tu fresh. Hivi lavalava na mbosso wa WAP!?Kwa mikoa isiyo na wasanii wa wcb sijui watapokelewa vipi
Mkuu yule mshilawadu yuko hoi wenyewe wanasema haamini anachokiona Ahahahhahahahaahjhhahajasoudy brown anahangaika tu huko insta
Nenda page ya clouds instaSisi ambao hatuamini tunachokiona tucomment wapi?
Ndanda kucheleeeeee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]naona unamheshimu sana mumeo hadi umemscreenshot upo vizuri
wcb wataleta mapinduzi makubwa sana wakifanikiwa..wenzetu naija hawana haya mambo ndio maana wasanii wao wengi wana hit ila sisi tunabana vipaji ndio maana wanasikika walewale ila kwa stail hii wasanii watapata haueniMkuu yule mshilawadu yuko hoi wenyewe wanasema haamini anachokiona Ahahahhahahahaahjhhahaja
nisiamini nini wakati Mtwara kuna wanadamu na Dar pia kuna wanadamu???Hautohamini utachoona kesho.