Wasafi festival wamefanikiwa 100%

kapuku94

Member
Joined
Nov 7, 2018
Posts
66
Reaction score
69
Tamasha la wasafi festival limefanikiwa Kwa kiwango cha juu.hi inatokana kuwa Na wasanii wenye mvuto Na ushawishi kwenye jamii .

Pia artists walio kwenye record label ya wasafi wanajitahidi ku promote tamasha . Mfano kondeboy harmonize watu wa mtwara wamempokea vizuri sana.

Itakuwa ivo ata mbeya Kwa kina mbombo ngafu watampokea rayvann Kwa shangwe naisi wata mpatia gunia la maharagwe

TAZAMA MATUKIO KWA PICHA

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]huku koromije zikijengwaga meili na maflaiova huwa tujaa sana siku ya uzinduzi na sikukuu za mwanzon mwanzoni wacha kabisa

Bana bana mapovu sitakiii mie
 
Hater ..dah unatumia nguvu sana kuchukia vilivyopendwa ..utayala tu hatakama yananuka.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wamtwara tushachukua cheni yetu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hater ..dah unatumia nguvu sana kuchukia vilivyopendwa ..utayala tu hatakama yananuka.
 
Hater, roho ya kwanini, roho ya kimasikin, roho ya koro show, wivu na majungu
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wamtwara tushachukua cheni yetu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nimeiona ile clip Mondi ameumia sana
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]naona unafuata nyayo nilipo upo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hater, roho ya kwanini, roho ya kimasikin, roho ya koro show, wivu na majungu
 
ukiachwa achika mi ndukiiii
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]naona unafuata nyayo nilipo upo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nina ujumbe wako hapa

Case closed
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]naona unamheshimu sana mumeo hadi umemscreenshot upo vizuri
Hebu ona sasa ulipofika tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…