Wasafi FM, Kitenge haendani na Zembwela

mau anahitaj mtu mwenye masihara sana kama yy, huyu babu Z haendan na kasi ya bwana Mau
 
Yaani Kama unawasikiliza hawa jamaa na comedy zao,haki ya Mungu,una akili ndogo sana,
Hawa jamaa,wale wa EFM Kipanya,Adera,na jamaa mwingine,harafu wa clouds,bonge na yule jamaa aliyetoka Radio Free,huwa wanaongea pumba mwanzo mwisho!
Kipindi kizima ni kucheka Cheka tu,na story zisizo na maana,tena kama kuna story ambayo ni sensitive kama ubakaji,au fumanizi,basi itapewa airtime ya kutosha,watatengeneza drama hapo,kama vile,wasikilizaji wanahitaji kusikia
 
Hawaendani kabisaa zembwera ile sio idara yake anafanya kipindi kipooze atafutiwe idara nyingine, musa kipanya ndo alikuwa anakoleza vile vitu tulivyokuwa tunavipata EFm hatuvipati kitenge hana Support nzuri kweli kabisa hawaendani
 
 
Kitenge ni mtangazaji Local sana anatangaza kwa Maigizo, kitenge ni Msoma taarifa ndo Maana hata kwenye uchambuzi wa maswala ya soka ni Mweupe
Japokuwa ni hater lkn unasikilizaga Wasafi.

Chuki zimekufanya mpaka umeshindwa kutofautisha mchambuzi wa mpira na mwendeshaji/mwongozaji wa kipindi.

Kitenge hachambui soka wanaochambua akina Edo Kumwembe yy kazi yake kuendesha/kuongoza kipindi.

Ila sio mbaya umetumia haki yako ya msingi kuwakilisha mawazo yako,ila kwa bahati nzuri mawazo yako sio mawazo ya kila mtu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…