JanguKamaJangu
JF-Expert Member
- Feb 7, 2022
- 2,780
- 6,607
Tatizo nchi hii ni unafiki.Inaonekana zanzibar vituo vya redio havipati mapato kutokana na masharti ya urushaji wa matangazo kwa kujifanya mnaendesha nchi kidini. Hii itafanya zanzibar mbaki na ZBC yenu pekeyake.