Jacobus
JF-Expert Member
- Mar 29, 2011
- 4,703
- 1,724
Wakuu, pana "clip" moja nimeiona katika mtandao mmoja ukisema, nanukuu, 'msanii wa muziki wa kizazi kipya Abdul Nassib Diamond platnumz amepanga kuanzisha timu ya mpira wa miguu itakayoitwa Wasafi Football Club (WFC) na Wasafi Football Academy (WFA Pia amepanga kujenga uwanja mkubwa wa mpira wa miguu Tanzania hiyo imekuja baada ya kushauriwa na magwiji wa Afrika Samuel Etoo na Didier Drogba awekeze kwenye mpira wa miguu na amesema magwiji hao wa Afrika ndio watakuwa washauri wake kwenye masuala ya Mpira'.
Kama ni kweli nampongeza kwa kuwa na wazo hilo na Mungu amjaalie alitekeleze ili sie tusio na Uyanga na Usimba ambao ujio wa Azam FC ulitufariji mwanzoni tuelekee huko>
USHAURI wazo hilo aliweke kivitendo KIGOMA.