Wasafi Football Club ni kweli au uzushi?

Wasafi Football Club ni kweli au uzushi?

Jacobus

JF-Expert Member
Joined
Mar 29, 2011
Posts
4,703
Reaction score
1,724
Wakuu, pana "clip" moja nimeiona katika mtandao mmoja ukisema, nanukuu, 'msanii wa muziki wa kizazi kipya Abdul Nassib Diamond platnumz amepanga kuanzisha timu ya mpira wa miguu itakayoitwa Wasafi Football Club (WFC) na Wasafi Football Academy (WFA Pia amepanga kujenga uwanja mkubwa wa mpira wa miguu Tanzania hiyo imekuja baada ya kushauriwa na magwiji wa Afrika Samuel Etoo na Didier Drogba awekeze kwenye mpira wa miguu na amesema magwiji hao wa Afrika ndio watakuwa washauri wake kwenye masuala ya Mpira'.

Kama ni kweli nampongeza kwa kuwa na wazo hilo na Mungu amjaalie alitekeleze ili sie tusio na Uyanga na Usimba ambao ujio wa Azam FC ulitufariji mwanzoni tuelekee huko>
USHAURI wazo hilo aliweke kivitendo KIGOMA.
 
Nukuu
.. hiyo imekuja baada ya kushauriwa na magwiji wa Afrika Samuel Etoo na Didier Drogba awekeze kwenye mpira wa miguu na amesema magwiji hao wa Afrika ndio watakuwa washauri wake kwenye masuala ya Mpira'.

Sijaona aseme atawaajiri hapo
"WATAKUWA WASHAURI WAKWE KWENYE MASUALA YA MPIRA"

(CONSULTANTS) kuna watu wanatoa ushauri BURE
 
kwanzia leo nakuvua jina la "EINSTEIN" na nakubatiza jina jipya utaitwa "KILOKOTE"... Yani umeshindwa kuelewa alicho andika mtoa taarifa?
"WATAKUWA WASHAURI WAKWE KWENYE MASUALA YA MPIRA"

(CONSULTANTS) kuna watu wanatoa ushauri BURE
 
"WATAKUWA WASHAURI WAKWE KWENYE MASUALA YA MPIRA" (CONSULTANTS) kuna watu wanatoa ushauri BURE
kumbe unaujua mpira.. Sasa nawewe nikuulize.. Mmiliki wa klabu ya Chelsea.. "Abrahmovic" anatoaga fedha zake mfukoni kuwalipa wafanyakazi na wachezaji wa chelsea?...
 
kumbe unaujua mpira.. Sasa nawewe nikuulize.. Mmiliki wa klabu ya Chelsea.. "Abrahmovic" anatoaga fedha zake mfukoni kuwalipa wafanyakazi na wachezaji wa chelsea?...
SWALI ZURI UNAHISI CLUB MPYA ITALIPA WACHEZAJI KWA GET COLLECTIONS AU KAMA CLUB ITAKUWA KWA MFUMO WA KAMPUNI UNADHANI INITIAL CAPITAL ATAPEWA DSE???

WALIKUJA AKINA KAJUMULO WAKAKIMBIA
SINGIDA UNTD WANASUASUA
 
Afanye hivyo kiukweli nitamuunga mkono 100℅ na kizuri ni kuwa atapata support kubwa sana kutoka kwa mashabiki zake.
 
Mkuu, hakuna ugumu wa kuanzisha jambo kama umeamua kwa dhati.
Mwambie Kama Amepata Vihela Amshawishi Mke Wa Kusaga Amuuzie Sehemu Ya Hisa Za Wasafi Media Ili Awe Na Nguvu ( Voting Power ) Kuliko Kama Ilivyo Sasa Anaweza Hata Kufukuzwa Kazi Na Akaajiriwa CEO Mwingine.
 
Back
Top Bottom