EINSTEIN112
JF-Expert Member
- Oct 26, 2018
- 21,711
- 35,644
Haya bhana mi hata sitaki mabishanoMzee baba unafeli wapi??
Hata mtaani kwetu tumejichanga tumeanzisha timu yetu,itapanda taratibu hadi ligi daraja la kwanza.
Kuna ugumu gani?
Au wewe unataka uanze siku hiyo hiyo uwe na kiwanja,hostel za team kama azam fc??
nshajibu hili shwali huko juu soma tenaUnaweza kuonyesha sehemu mtoa mada kaandika Diamond atawaajiri Drogba na Etoo?
Pia brand ya wasafi ni kubwa..usishangae team ikapata wadhamini hata watano[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Haya bhana mi hata sitaki mabishano
Dunia itakua imekosa mwelekeo walahMond awaajiri Drogba na Eto'o???
Kwan amewahi kusema popote kuwa ni zake???Amewahi Kusema Popote Siyo Zake ??
Navy kenzo anatimu maeneo ya kawe ,inaitwa Kenzo Academy football nadhaniMzee baba unafeli wapi??
Hata mtaani kwetu tumejichanga tumeanzisha timu yetu,itapanda taratibu hadi ligi daraja la kwanza.
Kuna ugumu gani?
Au wewe unataka uanze siku hiyo hiyo uwe na kiwanja,hostel za team kama azam fc??
Mwana naona ni mutu ya football, inabidi timu yako niiunganishe na timu yangu ,siku wapige mechi ya kirafikiPia brand ya wasafi ni kubwa..usishangae team ikapata wadhamini hata watano[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mond awaajiri Drogba na Eto'o???
siijakuelewa, Rephrase!!Kwa kuwa kibamia hawezi kumwajiri hata Machupa wa Ndondo Cup ukadhani na Mond ni hivyo hivyo?
washauri wake wa hialiMond awaajiri Drogba na Eto'o???
wana muibia haoWakuu, pana "clip" moja nimeiona katika mtandao mmoja ukisema, nanukuu, 'msanii wa muziki wa kizazi kipya Abdul Nassib Diamond platnumz amepanga kuanzisha timu ya mpira wa miguu itakayoitwa Wasafi Football Club (WFC) na Wasafi Football Academy (WFA Pia amepanga kujenga uwanja mkubwa wa mpira wa miguu Tanzania hiyo imekuja baada ya kushauriwa na magwiji wa Afrika Samuel Etoo na Didier Drogba awekeze kwenye mpira wa miguu na amesema magwiji hao wa Afrika ndio watakuwa washauri wake kwenye masuala ya Mpira'.
Kama ni kweli nampongeza kwa kuwa na wazo hilo na Mungu amjaalie alitekeleze ili sie tusio na Uyanga na Usimba ambao ujio wa Azam FC ulitufariji mwanzoni tuelekee huko>
hakuna mtu muongo na tapeli kama Mo hapo simba kawekeza milion 8 tuEndeleeni kudanganyana
Mo dewj kawekeza simba $8.5M ambazo ni nyingi kuliko $4M ambazo ni net worth ya mondi
Ikiwa mo kwa uwekezaji huo hana uwezo wakujenga uwanja kwa klabu kama simba ambayo tayar INA assets kama plot,mashabiki na uzamini wa kutosha $1m toka sportpesa
Leo tutaamini vipi huo uwanja mkubwa?
NB.tusimkatishe tamaa anaweza anzisha timu ya kushiriki ndondo kama walivyofanya NAVYKENzO in last sports extra Ndondo cup
Exactly. Since Day 1.Kwan amewahi kusema popote kuwa ni zake???