Wasafi Football Club ni kweli au uzushi?

Wasafi Football Club ni kweli au uzushi?

Mzee baba unafeli wapi??

Hata mtaani kwetu tumejichanga tumeanzisha timu yetu,itapanda taratibu hadi ligi daraja la kwanza.

Kuna ugumu gani?

Au wewe unataka uanze siku hiyo hiyo uwe na kiwanja,hostel za team kama azam fc??
Haya bhana mi hata sitaki mabishano
 
Endeleeni kudanganyana
Mo dewj kawekeza simba $8.5M ambazo ni nyingi kuliko $4M ambazo ni net worth ya mondi
Ikiwa mo kwa uwekezaji huo hana uwezo wakujenga uwanja kwa klabu kama simba ambayo tayar INA assets kama plot,mashabiki na uzamini wa kutosha $1m toka sportpesa
Leo tutaamini vipi huo uwanja mkubwa?

NB.tusimkatishe tamaa anaweza anzisha timu ya kushiriki ndondo kama walivyofanya NAVYKENzO in last sports extra Ndondo cup
 
Awekeze kwenye Viwanda, kwa Afrika mpira ni pasua Kichwa hatofanikiwa sana!
 
Mzee baba unafeli wapi??

Hata mtaani kwetu tumejichanga tumeanzisha timu yetu,itapanda taratibu hadi ligi daraja la kwanza.

Kuna ugumu gani?

Au wewe unataka uanze siku hiyo hiyo uwe na kiwanja,hostel za team kama azam fc??
Navy kenzo anatimu maeneo ya kawe ,inaitwa Kenzo Academy football nadhani
 
Wakuu, pana "clip" moja nimeiona katika mtandao mmoja ukisema, nanukuu, 'msanii wa muziki wa kizazi kipya Abdul Nassib Diamond platnumz amepanga kuanzisha timu ya mpira wa miguu itakayoitwa Wasafi Football Club (WFC) na Wasafi Football Academy (WFA Pia amepanga kujenga uwanja mkubwa wa mpira wa miguu Tanzania hiyo imekuja baada ya kushauriwa na magwiji wa Afrika Samuel Etoo na Didier Drogba awekeze kwenye mpira wa miguu na amesema magwiji hao wa Afrika ndio watakuwa washauri wake kwenye masuala ya Mpira'.

Kama ni kweli nampongeza kwa kuwa na wazo hilo na Mungu amjaalie alitekeleze ili sie tusio na Uyanga na Usimba ambao ujio wa Azam FC ulitufariji mwanzoni tuelekee huko>
wana muibia hao
 
Endeleeni kudanganyana
Mo dewj kawekeza simba $8.5M ambazo ni nyingi kuliko $4M ambazo ni net worth ya mondi
Ikiwa mo kwa uwekezaji huo hana uwezo wakujenga uwanja kwa klabu kama simba ambayo tayar INA assets kama plot,mashabiki na uzamini wa kutosha $1m toka sportpesa
Leo tutaamini vipi huo uwanja mkubwa?

NB.tusimkatishe tamaa anaweza anzisha timu ya kushiriki ndondo kama walivyofanya NAVYKENzO in last sports extra Ndondo cup
hakuna mtu muongo na tapeli kama Mo hapo simba kawekeza milion 8 tu
 
Kumiliki team mpya bongo ni hasara tu ndio maana kina Mo na Manji wanagangania Simba na Yanga

Ndio maana matajiri huwa wananunua team ambazo tayari zipo, so unakuta tayari team ina msingi wa mashabiki

Azam au mtibwa sugar hadi leo sidhani kama ana mashabiki wa maana!
 
Back
Top Bottom