FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
Mfano wanavyotaja "ai, mama nakufaa, konki, Likwidii.."
Sio mawazo mabaya, lakini ulivyoandika kama vile ni lazima kutaja hayo maneno.Nadhani ingekuwa vyema kuwa wazalendo kidogo, katika moja wapo ya nyimbo zao wakawa wanachomeka neno Serengeti au hata Ngorongoro, itasaidia sana kiutalii wa ndani na wa nje.
Walitaja neno Kitulo? Sisi watazamaji/wasikilizaji tutajuaje hapo ni Kitulo bila wao kutaja neno Kitulo kwenye mashairi ya Nyimbo?Wame shoot video kwenye hifadhi ya kitulo kuna yeyote alie toa credit espcly waziri wa utalii kwa hilo???
Sent using Jamii Forums mobile app
Ninaposema uzalendo inabidi uelewe maana ya uzalendo, angalia wasanii wa Kenya, kila shairi lazima ataje "Kenya yetu, wanyama wetu, lugha yetu, mlima wetu", sasa angalia huku kwetu, "Bonge nyaya tetema, ai, mama, nakufa, konki , Lwikwidiii..." hahahahahahSio mawazo mabaya, lakini ulivyoandika kama vile ni lazima kutaja hayo maneno.
Muziki ni biashara lazima uzalishe kile wateja wako wanataka na haifai kupaingiana cha kuwauzia wateja wao.
Wapo wenye dhamana ya kutangaza hivyo vivutio na wanalipwa kwa kazi hiyo.
Je! wewe uliyemzalendo unaitangazaje nchi yako?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna haja ya uzi mwingine, huu huu unawatosha wasanii wote TanzaniaNarudia tena;
mawazo yako ni mazuri, nakushauri ufungue uzi qa kuahauri na kushawishi wasanii wote Tz kuwa katika tunzi zao wajaribu kuiweka mbele Tz na vivutio vyao kama wafanyavyo wenzao.
Sio wasafi pekee hiyo bali watanzania wote na wasanii pia.
Hapa umewatupia jiwe wasafi pekee japo nafikiri kwasababu muziki wao umevuka mipaka mingi zaidi
Sent using Jamii Forums mobile app
Nadhani ingekuwa vyema kuwa wazalendo kidogo, katika moja wapo ya nyimbo zao wakawa wanachomeka neno Serengeti au hata Ngorongoro, itasaidia sana kiutalii wa ndani na wa nje.
Kila mtu na kipaji chakeMapenzipenzi Tu Ndio Yametawala Nyimbo Zao Kana Kwamba Kuna Mtu Anazaliwa Hajui Mapenzi
Walianza na Mza- Nyegezi wakafungiwa... sijui kama watafika huko unapopataka.Nadhani ingekuwa vyema kuwa wazalendo kidogo, katika moja wapo ya nyimbo zao wakawa wanachomeka neno Serengeti au hata Ngorongoro, itasaidia sana kiutalii wa ndani na wa nje.