Boss nafikiri ni vizuri watu kuwa na uelewa kidogo wa mambo. Kwan nani mwenye nchi. Nchi ni yetu sisi RAIA. Aman tuliyonayo ndo inatufanya tuwe free hata kufanya muziki, na shughuli zingine. Mashabiki, makampuni yanayotufadhili yote yanafanya kazi kwenye nchi yenye aman na miundo mbinu sahihi. Hivyo vyote havipatikan kutoka tu from nowhere. Kuna kazi inafanyika. Sasa, kila mtanzania anapaswa kusaidia kuifanya nchi iwe nzuri ili kazi zake zifanyike vizuri
Sijui kwann watanzania tunataka kila mtu awe mwanasiasa. Kila unachokifanya una ki connect na siasa. Achen upuuzi. Isaidieni nchi isonge mbele. Makampuni haya yakikua ndio hata shughuli za muziki, mpira na vitu mbali mbali vitapata sponsorshipi kubwa na nyie mtapata hela ya kutosha
Huwezi ukawa unaimba nyimbo zinawika Dunia nzima. Makampuni ya nchin kwako yanakupa sponsorship mpaka unakuwa tajiri et huwezi kutunga hata kawimbo hata kamoja ka kutaja sifa hata moja tu ya nchi yako.
Kama akina AY amepata hela tena kutoka kwenye kampuni ya Kitanzania, anaenda kununua nyumba marekan na kuwaza kuhama kabisa nchi. Kama vile anadhan akienda marekan atakuwa na nafasi ya kufanikiwa kama RAIA wa Kule.
Ndo maana watu husema huwezi kuvuna usichopanda. Unataka nchi ikufanyie kila kitu wakati ww huwezi kuifanyia hata kitu kidogo tu cha kuitaja sifa moja ili labda watali wawili au watatu watavutiwa na kuja kutembea au kuwekeza.
Sio vibaya kwenda kuishi nje lakin wazalendo au watu wenye akili timamu huwa wanaenda nje kutafuta then huleta nyumban kusaidia walio Hm. Sio unapata mafanikio Hm then unataka kuhama kabisa uende ukaishi ugenini.
Usiseme Tanzania itakufanyia nn, sema katika kipindi cha uhai wako umeisaidia nn nchi (Tanzania) yako!!?
Sent using
Jamii Forums mobile app