Kasiano Muyenzi
JF-Expert Member
- Feb 3, 2018
- 13,858
- 22,729
Miziki yao wanaimba kuhusu kugegedana tu ndy wabongo asilimia kubwa wanapenda wakubwa kwa wazee
Ova
Sent using Jamii Forums mobile app
"Bonge nyanya Tetema, inama uchutame, weka mate niteleze, anifinyie kwa ndani, katikaa katika, kishundu mbwimbwimbwiii, mtoto rojo rojo, aiii mamaa nakufaa, konko, Likwidiii..."Wewee wimbo waanze kutaja maserengeti sijui vitulo simba chui fisi unataka tuanze kuota usiku???
Mambo ya paka mate tuteleze,ulivyofungasha nyuma jinkolo jinkologo,uno la sotojo,amber rutty,simamia kama kangaroo yanatosha ndo tunayopenda watanzania wengi😎😎😎😎
Hahahahaaa ila wabongo tuna balaa kwenye habari za kuGegedana yani
Walipotaja 'NYEGEZI' walifuatiliwa sana na BASATA leo unataka wataje majina mengine ili iwaje tena?Walitaja neno Kitulo? Sisi watazamaji/wasikilizaji tutajuaje hapo ni Kitulo bila wao kutaja neno Kitulo kwenye mashairi ya Nyimbo?
Umeona mkuu, si watawafukuza kabisaWametaja Nyegezi tuu, wakafungiwa mwezi.
Wakitaja Serengeti au Ngorongoro je, itakuwaje?!
Boss nafikiri ni vizuri watu kuwa na uelewa kidogo wa mambo. Kwan nani mwenye nchi. Nchi ni yetu sisi RAIA. Aman tuliyonayo ndo inatufanya tuwe free hata kufanya muziki, na shughuli zingine. Mashabiki, makampuni yanayotufadhili yote yanafanya kazi kwenye nchi yenye aman na miundo mbinu sahihi. Hivyo vyote havipatikan kutoka tu from nowhere. Kuna kazi inafanyika. Sasa, kila mtanzania anapaswa kusaidia kuifanya nchi iwe nzuri ili kazi zake zifanyike vizuriSio mawazo mabaya, lakini ulivyoandika kama vile ni lazima kutaja hayo maneno.
Muziki ni biashara lazima uzalishe kile wateja wako wanataka na haifai kupaingiana cha kuwauzia wateja wao.
Wapo wenye dhamana ya kutangaza hivyo vivutio na wanalipwa kwa kazi hiyo.
Je! wewe uliyemzalendo unaitangazaje nchi yako?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sijui kwann watanzania tunataka kila mtu awe mwanasiasa. Kila unachokifanya una ki connect na siasa. Achen upuuzi. Isaidieni nchi isonge mbele. Makampuni haya yakikua ndio hata shughuli za muziki, mpira na vitu mbali mbali vitapata sponsorshipi kubwa na nyie mtapata hela ya kutoshaBoss nafikiri ni vizuri watu kuwa na uelewa kidogo wa mambo. Kwan nani mwenye nchi. Nchi ni yetu sisi RAIA. Aman tuliyonayo ndo inatufanya tuwe free hata kufanya muziki, na shughuli zingine. Mashabiki, makampuni yanayotufadhili yote yanafanya kazi kwenye nchi yenye aman na miundo mbinu sahihi. Hivyo vyote havipatikan kutoka tu from nowhere. Kuna kazi inafanyika. Sasa, kila mtanzania anapaswa kusaidia kuifanya nchi iwe nzuri ili kazi zake zifanyike vizuri
Sijui kwann watanzania tunataka kila mtu awe mwanasiasa. Kila unachokifanya una ki connect na siasa. Achen upuuzi. Isaidieni nchi isonge mbele. Makampuni haya yakikua ndio hata shughuli za muziki, mpira na vitu mbali mbali vitapata sponsorshipi kubwa na nyie mtapata hela ya kutosha
Huwezi ukawa unaimba nyimbo zinawika Dunia nzima. Makampuni ya nchin kwako yanakupa sponsorship mpaka unakuwa tajiri et huwezi kutunga hata kawimbo hata kamoja ka kutaja sifa hata moja tu ya nchi yako.
Kama akina AY amepata hela tena kutoka kwenye kampuni ya Kitanzania, anaenda kununua nyumba marekan na kuwaza kuhama kabisa nchi. Kama vile anadhan akienda marekan atakuwa na nafasi ya kufanikiwa kama RAIA wa Kule.
Ndo maana watu husema huwezi kuvuna usichopanda. Unataka nchi ikufanyie kila kitu wakati ww huwezi kuifanyia hata kitu kidogo tu cha kuitaja sifa moja ili labda watali wawili au watatu watavutiwa na kuja kutembea au kuwekeza.
Sio vibaya kwenda kuishi nje lakin wazalendo au watu wenye akili timamu huwa wanaenda nje kutafuta then huleta nyumban kusaidia walio Hm. Sio unapata mafanikio Hm then unataka kuhama kabisa uende ukaishi ugenini.
Usiseme Tanzania itakufanyia nn, sema katika kipindi cha uhai wako umeisaidia nn nchi (Tanzania) yako!!?
Sent using Jamii Forums mobile app
Rafik yangu hunijui vizuri. Mm ni mtanzania, nalipa kodi zaid ya million mbili kila mwezi. Na hiyo ni minimum. Ukienda exact kuna kipindi nalipa mpaka million 20. Nasafiri nje karibu kila miezi mitatu na nguo zote ninazovaa ni zile za kitanzania zenye picha za wanyama, mlima kilimo, mazao, mbuga na tamaduni mbali mbali za kiafrica. Nimeshawahi mpaka Ku connect makampuni kibao na watalii na wengine ni investors mpaka Leo wana makampuni huko Arusha. Kama ninachofanya mm kwenye shughuli zangu ambazo hata situmii gharama yoyote kingefanywa na watanzania million mbili tu, tungeisaidia sana hii nchi. Tungekuwa mbali.Sijui kwann watanzania tunataka kila mtu awe mwanasiasa. Kila unachokifanya una ki connect na siasa. Achen upuuzi. Isaidieni nchi isonge mbele. Makampuni haya yakikua ndio hata shughuli za muziki, mpira na vitu mbali mbali vitapata sponsorshipi kubwa na nyie mtapata hela ya kutosha
[emoji115][emoji115][emoji115][emoji115][emoji115][emoji115]
kwa kauli hiyo nawe ni mpuuzi tu, unasema "isaidieni nchi"
hujajiweka mwenyewe, na nikikuuliza hadi sasa umeisaidiaje, utatoa blabla tu.
ni vyema tukashawishiana na kushauriana kuliko kuanza kurushiana lawana
Sent using Jamii Forums mobile app
Rafik yangu hunijui vizuri. Mm ni mtanzania, nalipa kodi zaid ya million mbili kila mwezi. Na hiyo ni minimum. Ukienda exact kuna kipindi nalipa mpaka million 20. Nasafiri nje karibu kila miezi mitatu na nguo zote ninazovaa ni zile za kitanzania zenye picha za wanyama, mlima kilimo, mazao, mbuga na tamaduni mbali mbali za kiafrica. Nimeshawahi mpaka Ku connect makampuni kibao na watalii na wengine ni investors mpaka Leo wana makampuni huko Arusha. Kama ninachofanya mm kwenye shughuli zangu ambazo hata situmii gharama yoyote kingefanywa na watanzania million mbili tu, tungeisaidia sana hii nchi. Tungekuwa mbali.
Sent using Jamii Forums mobile app
Walitaja neno Kitulo? Sisi watazamaji/wasikilizaji tutajuaje hapo ni Kitulo bila wao kutaja neno Kitulo kwenye mashairi ya Nyimbo?
Basi bodi ya utalii kupitia 'Safari channel' iliyoanzishwa waangalie uwezekano wa kuandaa nyimbo moja tamu ya utalii na WCB ili iwe inapigwa kwenye hiyo channel, itasaidia.Kama serikali inatumia mamilioni kujitangaza kupitia kampuni za kimataifa kwanini isifanye uzalendo kwa kuilipa kampuni ya wasafi itangaze utalii wetu.
Mpaka WCB kufikia hapo wametumia mamilioni kwa mamilioni kujitangaza, Serikali ikiona kuna umuhimu iwalipe wafanye biashara ya kutangaza utalii wetu a ndani kama inavyofanya kwa makumpuni mengine ya nje na ndani.
Kitendo cha Dimond na wenzake kutokea Tz kuimeshaitangaza nchi wakitaka matangazo watoe hela maana hata wao WCB wanatumia hela nyingi kufikisha muziki wao hapa hakuna cha bure vinginevyo WCB waendelee kuimba "ai Mama nakufa au konki konki " kama tunavyopenda sie mashabiki wao .
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi naongelea neno liwe kwenye mashairi ili hata anaesikiliza bila kutazama asikieWameandika hapo youtube kwenye maelezo
SureBasi bodi ya utalii kupitia 'Safari channel' iliyoanzishwa waangalie uwezekano wa kuandaa nyimbo moja tamu ya utalii na WCB ili iwe inapigwa kwenye hiyo channel, itasaidia.
Umeshawahi kununua mziki wowote ule?Walitaja neno Kitulo? Sisi watazamaji/wasikilizaji tutajuaje hapo ni Kitulo bila wao kutaja neno Kitulo kwenye mashairi ya Nyimbo?
Bodi ya utalii iwape deal kama wanataka kutangazwaNadhani ingekuwa vyema kuwa wazalendo kidogo, katika moja wapo ya nyimbo zao wakawa wanachomeka neno Serengeti au hata Ngorongoro, itasaidia sana kiutalii wa ndani na wa nje.