Wasafi imemkosea nini Joh Makini?

Mwanza - Fid Q, Young Killer, Baraka prince
Mbeya- Izzo B. Ray Vanny. S2kizzy
 
Kila mtu achunge ugali wake we unataka afanye intaview af ngoma zake zisipigwe na show akose unazan mond anaezampa show mwaka mzima sio kwamba anawivu ila na yeye analinda ugali wake
 
Wasanii International Tanzania wako wawili tu, na wote hawatokei Kaskazini. Unaweza kubisha, lakini mtu kama Nikki wa Pili mbali na jina lake kuwa kwenye Roster ya utumishi wa ummah, hawezi kumkuta kwenye Music Catalogue yoyote kubwa.
 
Hapo kwenye ukabila umezingua sana

Nini maana ya ukabila? Hivi siku hizi tz tunaulizana ukabila kila tukikutana? Sijajua nini maana ya ukabila?
Achana na huyu boya. Huyu ni moja ya wapumbavu wavhache waliobaki na Tz
 
Chuki ubinafsi tupendane jamani kila mtu ana kwao ila sisi ni wamoja
 
Sasa unataka asikilizwe nani kama nyie mafala wengine akili zenunzimejaa wivu na ukabila
 
Kaonges ukwel
Hamna wasanii wote washamba wako local sana
 
P
U
M
B
A
 
Sasa unataka asikilizwe nani kama nyie mafala wengine akili zenunzimejaa wivu na ukabila
Nyie wa Arusha mna msanii gani wa maana washamba tu wivu pale wcb ukanda wenu wote kaskazini hakuna wa kumfikia hata zuchu tulizeni vibupa hata sisi n wahuni na wale wakubwa wa media zenu sijui mapresenter tunajua wanatoa ndogo uwezo zero Wacha wapigwe pipe kulina vibarua
 
Chuga hamna wasanii washamba wahaya na chuga mna nn Sasa shobo punguza na wahaya wale mapresenters wenu wanaoliwa ndogo walianza Anza ivyo kuletq Shoba na watu wa bukoba kuwa makini utaliwa
 
Punguza lomoni. Tulia uandike kitu inaeleweka
 
Sijui nn umejibu vipaji hamna nyie ni connection niambie Kuna msanii wa kike kumshinda ruby katika hyo list kma sio connection za media
Msanii wa kike anaemshinda Ruby sijaona zaidi yako
 
Punguza lomoni. Tulia uandike kitu inaeleweka
Punguzeni ukabila ndo maana hamna maendeleo ya kimuziki leo unamfananisha young killer na mshamba hajui kuimba sijui mnamuita raptcha acheni undezi tulieni angalieni uwezo wenu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…