Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
Wakuu
Hii Wasafi Media ibadilishwe tu ijulikane ni media ya CCM
Soma: Watangazaji Crown FM wageuza kauli ya "Mitano Tena" pambio kwenye kipindi, kweli wataweza kukemea uovu hawa?
Vyombo vya habari vinapaswa kuwa huru na kuepuka kuegemea upande wa kisiasa ili kudumisha uaminifu na uwajibikaji kwa jamii. Kujihusisha na siasa kunavifanya kupoteza uadilifu na kugeuka majukwaa ya propaganda badala ya vyanzo vya taarifa sahihi.
==
Maoni ya mdau

Hakuna ubaya kuchukua upande Kama interest yao ni hela na sio uweledi wa media za habari
Ila wawe tayari kulipa gharama Kuchagua upande pia