Pre GE2025 Wasafi Media ishakuwa media ya CCM, wame-brand magari yao kwa rangi za CCM, kuelekea miaka 48 ya chama hicho

Pre GE2025 Wasafi Media ishakuwa media ya CCM, wame-brand magari yao kwa rangi za CCM, kuelekea miaka 48 ya chama hicho

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
ccm ni baba la vyama vya siasi Tanzania, Africa na dunia nzima. Ni kujipanga tu ndugu zangu,

kama huna kitu huwezi kupendeka :pedroP:
CCM ni kama maji usipoyanywa utayaoga tuuu. Hiki ni chama ambacho kuna wajumbe wa kamati kuu wapo kimwili CHADEMA lakini akili zao zote zipo CCM
 
Utakuta mtu hapa mtandaoni analalamikia ccm ni wezi, mafisadi, wauwaji n.k

Lakini wakati huo sebuleni kwake anapiga mziki mkubwa wa wasafi na youtube anaangalia nyimbo zao na kuangalia TV yao. Account zao zote za social media amezifollow.

Common sense.

In Plato's "Apology", Socrates questions a prominent Athenian regarding the nature of 'The Good'. The Athenian wheeler and dealer, explains that it is quite simple: live so as to help your friends and and hurt your enemies. Socrates asks " How does one know who is an enemy and who is a friend?

The answer.

"The enemy of my enemy is my friend. The friend of my enemy is my enemy."
Mambo ya ajabu sana
 
Hakuna ubaya kuchukua upande Kama interest yao ni hela na sio uweledi wa media za habari

Ila wawe tayari kulipa gharama Kuchagua upande pia
 
Mama Samia anautafuta urais kwa kila namna kwa sababu anajua hakubaliki. Itafikia siku hata hii hewa tunayovuta watachora picha za Samia. Mwache akamie tu lakini hajui kuwa Mungu anaweza kuwa na mipango mingine kabisa. Magufuli alivuruga uchaguzi wa 2020 akidhani amekomoa wapinzani kumbe alikuwa anakaribia mwisho wa maisha yake.
Mzee mbona inaonyesha umekata sana tamaa?
 
Back
Top Bottom