Pre GE2025 Wasafi Media ishakuwa media ya CCM, wame-brand magari yao kwa rangi za CCM, kuelekea miaka 48 ya chama hicho

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
ccm ni baba la vyama vya siasi Tanzania, Africa na dunia nzima. Ni kujipanga tu ndugu zangu,

kama huna kitu huwezi kupendeka
CCM ni kama maji usipoyanywa utayaoga tuuu. Hiki ni chama ambacho kuna wajumbe wa kamati kuu wapo kimwili CHADEMA lakini akili zao zote zipo CCM
 
Mambo ya ajabu sana
 
Hakuna ubaya kuchukua upande Kama interest yao ni hela na sio uweledi wa media za habari

Ila wawe tayari kulipa gharama Kuchagua upande pia
 
Mzee mbona inaonyesha umekata sana tamaa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…