Hemedy Jr Junior
JF-Expert Member
- Feb 17, 2023
- 915
- 1,082
Kwa wafuatiliaji wa Wasafi fm/ kuna kipindi kinaongozwa na Didah Shahibu/Juma Lokole na idriss... hivi serikali/mamlaka uwaga wanafuatilia hizi project za vipindi au kisa media kulipa kodi.
Moja kati ya vitu vinavyopotosha na kuaribu ni vipindi vya TV na radio tunaomba kipindi hicho kifuatiliwe maana matusi na mambo ya kijinga ndo yanayozungumziwa.
Moja kati ya vitu vinavyopotosha na kuaribu ni vipindi vya TV na radio tunaomba kipindi hicho kifuatiliwe maana matusi na mambo ya kijinga ndo yanayozungumziwa.