Jimmy De Lite
JF-Expert Member
- Jun 10, 2019
- 635
- 2,321
Wasalaam Majombaa
Nimekuwa Nikimsikiliza huyu mchizi anaye Represent Pande za chugastan,Ambaye ni moja ya watangazaji wakali kuwahi kutokea hapa Tz.
Huyu jamaa tukiachana na kipaji cha utangazaji,Pia naweza sema ni comedian japo sijui kama anajua ana kipaji hicho,
Nakumbuka enzi za uhai wa Ruge mtahaba alikuwa haachi kumzungumzia Mchomvu kila afanyapo mahojiano,Na hii ilitokana na Ruge mwenyewe kukubali kipaji cha huyu jamaa.
Tukiachana na Bdozen kuwa Brand manager wa kipindi cha XXL lakini naweza sema Adam mchomvu anamwacha mbali Bdozen kwa kukubalika,Na hii inatokana na jamaa stail yake ya utangazaji ambayo watangazi wengi vijana lazima waige swagga zake na ujinga anao ufanya mchiz.
Kilicho nifanya Nilete haya maoni yangu kwa Maboss wa Wasafi ni kuomba wamchukue huyu mchizi,Mana ukimfuatilia Jamaa utagundua kuwa ni full package,
Anaweza kuhost show zote za wasafi festival, Anaweza kuwa radio presenter (wasafi radio),Wasafi TV,
Pia kilicho nivuta nilete Uzi huu ni jinsi ninavyo ona clouds media wanashindwa kumtumia huyu jamaa vizuri
Maombi yangu kwa wasafi naomba mumchukue Huyu Mchizi coz nimeona nyie mna nia thabiti za kwenda mbele zaidi, Na mkimchukua Mchomvu mtajiongezea list ndefu ya listeners cz jamaa ana fanbase kubwa sana.