Wasafi Media Mchukueni The Tripple P,Adam Mchomvu.

Wasafi Media Mchukueni The Tripple P,Adam Mchomvu.

Jimmy De Lite

JF-Expert Member
Joined
Jun 10, 2019
Posts
635
Reaction score
2,321
Wasalaam Majombaa

Nimekuwa Nikimsikiliza huyu mchizi anaye Represent Pande za chugastan,Ambaye ni moja ya watangazaji wakali kuwahi kutokea hapa Tz.

Huyu jamaa tukiachana na kipaji cha utangazaji,Pia naweza sema ni comedian japo sijui kama anajua ana kipaji hicho,

Nakumbuka enzi za uhai wa Ruge mtahaba alikuwa haachi kumzungumzia Mchomvu kila afanyapo mahojiano,Na hii ilitokana na Ruge mwenyewe kukubali kipaji cha huyu jamaa.

Tukiachana na Bdozen kuwa Brand manager wa kipindi cha XXL lakini naweza sema Adam mchomvu anamwacha mbali Bdozen kwa kukubalika,Na hii inatokana na jamaa stail yake ya utangazaji ambayo watangazi wengi vijana lazima waige swagga zake na ujinga anao ufanya mchiz.

Kilicho nifanya Nilete haya maoni yangu kwa Maboss wa Wasafi ni kuomba wamchukue huyu mchizi,Mana ukimfuatilia Jamaa utagundua kuwa ni full package,
Anaweza kuhost show zote za wasafi festival, Anaweza kuwa radio presenter (wasafi radio),Wasafi TV,

Pia kilicho nivuta nilete Uzi huu ni jinsi ninavyo ona clouds media wanashindwa kumtumia huyu jamaa vizuri

Maombi yangu kwa wasafi naomba mumchukue Huyu Mchizi coz nimeona nyie mna nia thabiti za kwenda mbele zaidi, Na mkimchukua Mchomvu mtajiongezea list ndefu ya listeners cz jamaa ana fanbase kubwa sana.
 
Ni kweli yupo poa sana..si mtu wa kufanya featuring anatakiwa asimame mwenye kwenye kipindi kama main presenter na sio kutupwa kwenye so so what sijui..muda ambao watu wengi wanakua wamelala
Nahisi jamaa wanambania sana anavitu vingi sana vya kushow out
Labda kama ana majukumu mengine pale lakini mi naona anafit sana kwenye utangazaji.wake up man wanamaliza energy yako wakt hujaitumia kabisa
 
Ndo mana nikasema Clouds hawajui kumtumia,Na huwa nahis kuna watu pale wana mbania kiaina,Jamaa ni zaid ya presenter.
 
Mchomvu Ana ndoa ya kudumu clouds fm mwenyewe aliishaweka wazi hatokuja kuacha kazi pale
 
Wasafi hawawezi chukua mtu toka Arusha, kibaya zaidi atoke clouds, juzijuzi tu Adam amemrushia madongo Diamond et Leo Mond amwajiri, ni story ndefu , hv hujiulizi kwa nini show za wasafi hazihusishi kikoa ya Arusha na Kilimanjaro??? Mpak zinapelekwa Kahama, umewaza jambo jema ila kwa sasa haliwez kuwezekana labda ujaribu msimu ujao
 
Hivi unajua kama mchomvu ndo mtangazaj wa kwanza kupga ngoma ya Diamond redion,Alafu ukae ukijua Mchomvu ni timu mond ndo mana mpk saiv jamaa hajawahi kupga ngoma ya Alikiba,Jamaa huwa ana mwambia diamond ukweli endapo akiulizwa kuhusu Diamond na wala siyo madongo kama ulivo sema.Slowly, post: 32055993, member: 374329
 
Usiwe Kaa, wacha wenye vipaji wengine nao waajiriwe.
 
Hivi unajua kama mchomvu ndo mtangazaj wa kwanza kupga ngoma ya Diamond redion,Alafu ukae ukijua Mchomvu ni timu mond ndo mana mpk saiv jamaa hajawahi kupga ngoma ya Alikiba,Jamaa huwa ana mwambia diamond ukweli endapo akiulizwa kuhusu Diamond na wala siyo madongo kama ulivo sema.Slowly, post: 32055993, member: 374329
Usilishe watu timu zenu za kijinga
 
Huyu mchomvu alikotoka bana, watu wa mbeya wanafahamu sana miaka ya 2005-2006.
 
Back
Top Bottom