Wasafi Media Mchukueni The Tripple P,Adam Mchomvu.

Hmmm..!!Kwani Jonijoo anatokea Mkoa gani ariff??
 
Anyway labda niseme hivi..AD+ ni moja kati ya Presenters wenye wako so talented sana pamoja na U'comedian wake ambao listerners hupenda kama alivokua anafanya Marehemu Kibonde au Masoud Kipanya,Mchomvu Clouds ana'fit sana na sidhani kama akienda kwengine itakua busara.!!Pia yeye mwenyewe pamoja na presenters wengine nchi hii ndoto zao ni Kufanya kazi CMG muulize ata Jonijoo au Dullah planet...Imeisha iyo dingii.
 
Tatizo lake anakula sana bangi
 
Wasafi wako interested kwenye kuibua vipaji vipya..Watu wenye vipawa vikubwa ambao aidha hawajulikani ama wanapuuzwa
 
Huyu mchomvu alikotoka bana, watu wa mbeya wanafahamu sana miaka ya 2005-2006.
Jamaa alikuwa anaitwa tolu wa ajabu kutokana na urefu wake, wakati huo alikuwa redio Mbeya Fm kama sijakosea mara paaaap Clouds wakumchukuana jamaa akapaa kwenye tasnia ya habari.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…