Wasafi Media Mchukueni The Tripple P,Adam Mchomvu.

Wasafi Media Mchukueni The Tripple P,Adam Mchomvu.

Wasafi hawawezi chukua mtu toka Arusha, kibaya zaidi atoke clouds, juzijuzi tu Adam amemrushia madongo Diamond et Leo Mond amwajiri, ni story ndefu , hv hujiulizi kwa nini show za wasafi hazihusishi kikoa ya Arusha na Kilimanjaro??? Mpak zinapelekwa Kahama, umewaza jambo jema ila kwa sasa haliwez kuwezekana labda ujaribu msimu ujao
Hmmm..!!Kwani Jonijoo anatokea Mkoa gani ariff??
 
Anyway labda niseme hivi..AD+ ni moja kati ya Presenters wenye wako so talented sana pamoja na U'comedian wake ambao listerners hupenda kama alivokua anafanya Marehemu Kibonde au Masoud Kipanya,Mchomvu Clouds ana'fit sana na sidhani kama akienda kwengine itakua busara.!!Pia yeye mwenyewe pamoja na presenters wengine nchi hii ndoto zao ni Kufanya kazi CMG muulize ata Jonijoo au Dullah planet...Imeisha iyo dingii.
 
Wasalaam Majombaa

Nimekuwa Nikimsikiliza huyu mchizi anaye Represent Pande za chugastan,Ambaye ni moja ya watangazaji wakali kuwahi kutokea hapa Tz.

Huyu jamaa tukiachana na kipaji cha utangazaji,Pia naweza sema ni comedian japo sijui kama anajua ana kipaji hicho,

Nakumbuka enzi za uhai wa Ruge mtahaba alikuwa haachi kumzungumzia Mchomvu kila afanyapo mahojiano,Na hii ilitokana na Ruge mwenyewe kukubali kipaji cha huyu jamaa.

Tukiachana na Bdozen kuwa Brand manager wa kipindi cha XXL lakini naweza sema Adam mchomvu anamwacha mbali Bdozen kwa kukubalika,Na hii inatokana na jamaa stail yake ya utangazaji ambayo watangazi wengi vijana lazima waige swagga zake na ujinga anao ufanya mchiz.

Kilicho nifanya Nilete haya maoni yangu kwa Maboss wa Wasafi ni kuomba wamchukue huyu mchizi,Mana ukimfuatilia Jamaa utagundua kuwa ni full package,
Anaweza kuhost show zote za wasafi festival, Anaweza kuwa radio presenter (wasafi radio),Wasafi TV,

Pia kilicho nivuta nilete Uzi huu ni jinsi ninavyo ona clouds media wanashindwa kumtumia huyu jamaa vizuri

Maombi yangu kwa wasafi naomba mumchukue Huyu Mchizi coz nimeona nyie mna nia thabiti za kwenda mbele zaidi, Na mkimchukua Mchomvu mtajiongezea list ndefu ya listeners cz jamaa ana fanbase kubwa sana.
Tatizo lake anakula sana bangi
 
Wasafi wako interested kwenye kuibua vipaji vipya..Watu wenye vipawa vikubwa ambao aidha hawajulikani ama wanapuuzwa
 
Huyu mchomvu alikotoka bana, watu wa mbeya wanafahamu sana miaka ya 2005-2006.
Jamaa alikuwa anaitwa tolu wa ajabu kutokana na urefu wake, wakati huo alikuwa redio Mbeya Fm kama sijakosea mara paaaap Clouds wakumchukuana jamaa akapaa kwenye tasnia ya habari.
 
Back
Top Bottom