Wasafi Media Mtegoni. Diamond, Kusaga wavurugana

Nu yok siti kuna vituo zaidi ya 400 hii imekaaje mtaalamu?
 
Wewe binti uliyeleta huu uzi unapokosolewa uwe unakubali kukosolewa na sio kupenda kufuga ujinga,kama wewe sio mleta uzi basi acha kujipendekeza,sitaki kunywa maji nataka nikutafune wewe.
Hahhahaha aiseee jf kuna wehu sana usipo lijua hilo unaweza kutamani kutoingia tena 😂😂😂😂😂😂😂
Umebisha weeee kiko wapi
 
Nu yok siti kuna vituo zaidi ya 400 hii imekaaje mtaalamu?
Anti monopoly law ya US haiwezi ruhusu moguls kununua frequencies na kuzitunza. Ingekuwa hivyo matajiri wa zamani na warithi wa ubabe wa hiyo industry kina Rupert Murdoch na Michael Bloomberg wangekuwa wamiliki wao peke yao.

Na kati ya hizo 400+ unazosema, nyingine nyingi sio FM ambao ndio mjadala wetu hapa.
Pia Marekani wanaweza kuwa na radio stations hata nne kwa frequency moja, na hawapishani sana kwenye frequency mambo ambayo hapa nchini hamna. Alafu NYC kuna stations nyingi sana dedicated only for something kama redio ya kucheza reggae tu, country tu.

NB: Nimekataa kuitwa mtaalamu.
 
Nu yok siti kuna vituo zaidi ya 400 hii imekaaje mtaalamu?
Jamaa walipofikia redio sio lazima zirushe kupitia masafa haya ya analogia kama FM wengi wapo kidigitali zaidi redio nyingi unazipata kupitia satellite na nyingine kupitia internet na njia nyingine za kidigitali,,huku redio upande mkubwa bado zipo analogia
 
While it might sound kama ni mawazo ya kitaalamu.....
Lakini maeneno mengi umetupiga kamba.
Naomba nitumie mfano mmoja wa UFM, radio ya Azam media.....
Frequency zake ni 107 kwa Dar 96+ kwa mikoani....
Vipi nayo ni redio ndogo?
 
Usihangaike bro wanapenda story za mond kufeli, maisha ya waAfrika hasa wabongo yana chuki sana bro.
 
Unanikumbusha masafa ya short wave kijijini kupitia radio mkulima ambapo tulikuwa tunaipata Deutsch Welle.
Yaani kunyonga kuanzia mwanzo hadi mwisho unaweza kukutana na radio 100. Unasogeza kidog tu.
 
While it might sound kama ni mawazo ya kitaalamu.....
Lakini maeneno mengi umetupiga kamba.
Naomba nitumie mfano mmoja wa UFM, radio ya Azam media.....
Frequency zake ni 107 kwa Dar 96+ kwa mikoani....
Vipi nayo ni redio ndogo?
Umetumia akili ya kuvukia barabara kwenye mfano wa UFM, nishalitolea maelezo humu. Akili kubwa wenyewe washaelewa kwanini UFM iko hizo frequency.

Unahisi kwanini hawana matangazo ya condom, au pombe, au huduma shindani dhidi ya Azam?
 
Unaelewa unachoongea mzee?
UFM redio ya Azam unataka iwe na matangazo shindani ya Azam. Afu serious unauliza kwanini? Natakiwa kujibu swali la kijinga kama hili......?

Nadharia kuwa 90+ ni ya redio ndogo si ya kweli kwani redio kubwa Nyingi tu zipo kwenye zone hiyo ya frequency.
Au dhana hii inawork kwa dar pekee?
Maana ukienda mkoani the so called redio kubwa zipo kwenye range hiyo ya ya 90+.....

Same to redio kubwa za mikoani ukija dar zinapatikana kwenye frequency ya 100+....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…