Wasafi Media na staff wake wamepanga au wametumwa kumshusha Kimuziki Nandy?

BARD AI

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2018
Posts
3,591
Reaction score
8,826
Kauli za nyota mwimbaji wa Bongo Flava, Nandy kuhusu Watangazaji wa Wasafi Media na Wafanyakazi wao kumshambulia na kumfanyia hila za kumshusha kimuziki imeibua mengi huko Instagram leo.

IMG_2329.jpg

IMG_2327.jpg

IMG_2328.jpg
 
Tz ina presenters wa radio na tv wengi ambao ni mashoga... Ndio maana wana mambo ya kisenge senge... Mwanaume rijali huwez hangaika kumdiss mtoto wa kike... Wanaume karibia wote waliojazana ktk vipindi vya radio ni machoko wanashika ukuta, bad enough wamejificha kwenye kivuli cha kuwa na watoto au familia, ila ukweli wanaish mjini kwasabab ya kupumuliwa visogo...

Itakuwa Billnas kakataa kuwashikisha ukuta sasa wanamshambulia mkewe...
 
Kwani Hando kaongea nini kibaya hapo? Katoa mtazamo wake ambao ni ukweli msanii akiingia kwenye ndoa anafulia na ni kweli Nandy amepotea kwani mnamsikia nyie? Kwa sasa phina anafanya vizuri zaidi ya nandy.

Kuna style fulani wasanii wakiona wanafulia basi wanatafuta huruma kuwa wanashushwa na Wasafi ili wapate backup ya haters wa wasafi...yani media zingine zikiongea habari mbaya kukuhusu ni just habari ila ikiongelewa na Wasafi basi unashushwa hahahaha style za kitoto sana hizo kwa kipi ushuswe lea mwanao ukishaamua kuwa mamana mke wa mtu basi achana na mambo yetu vijana lea mtoto na mmeo hahahaha
 
CHAWA kazini
 
Nandy ye majuzi tu alisema hatoi ngoma kwa sasa anapush kazi za msanii wake yammy ambazo tayari zimesha andaliwa,,nandy ni mama na ni mke pia na ana haki ya kuwa hivo, hao akina handu sijui nani kama wanamwonea wivu waende kwa muhuni nenga akawaoe.
 
Tz ina presenters wa radio na tv wengi ambao ni mashoga... Ndio maana wana mambo ya kisenge senge... Mwanaume rijali huwez hangaika kumdiss mtoto wa kike... Wanaume karibia wote waliojazana ktk vipindi vya radio ni machoko wanashika ukuta, bad enough wamejificha kwenye kivuli cha kuwa na watoto au familia, ila ukweli wanaish mjini kwasabab ya kupumuliwa visogo...
Itakuwa Billnas kakataa kuwashikisha ukuta sasa wanamshambulia mkewe...
Bro nimeiona clip.hakuna kibaya walicho mzungumzia Nandy ulikuwa ni mdaharo tu na nandy akawa kama case study
 
Kwani Hando kaongea nini kibaya hapo? Katoa mtazamo wake ambao ni ukweli msanii akiingia kwenye ndoa anafulia na ni kweli Nandy amepotea kwani mnamsikia nyie? Kwa sasa phina anafanya vizuri zaidi ya nandy.

Kuna style fulani wasanii wakiona wanafulia basi wanatafuta huruma kuwa wanashushwa na Wasafi ili wapate backup ya haters wa wasafi...yani media zingine zikiongea habari mbaya kukuhusu ni just habari ila ikiongelewa na Wasafi basi unashushwa hahahaha style za kitoto sana hizo kwa kipi ushuswe lea mwanao ukishaamua kuwa mamana mke wa mtu basi achana na mambo yetu vijana lea mtoto na mmeo hahahaha
Wasanii wangapi mbele wameolewa na kuoa na bado wanafanya vizuri? kila mtu ana njia yake tuache kupangiana maisha,
Yaan mtoto wa kike ashindwe kuolewa ili awe rolimodo wa Hando? Huu ni upuuzi kama upuuzi mwingine
 
Hakuna aliyeoa au kuolewa akaendelea kufanya vizuri usiwe kiande hiyo ni reality
 
Back
Top Bottom