Alvajumaa
JF-Expert Member
- Jul 5, 2018
- 5,039
- 6,253
Kiande ni nani? hebu jifunze kua na adabu kwa mtu usiyemfahamu,Hakuna aliyeoa au kuolewa akaendelea kufanya vizuri usiwe kiande hiyo ni reality
Mfano wangu nimesema hapo wanamziki wa ulaya au hapo Congo tuu wameoa na bado wanafanya vizuri,
Koffi Olomide, Fally Ipupa kaoa, Inos B, Ferre gola wote wameoa na bado wanafanya vizuri,
Jay Z kaoa na bado anafanya vizuri