Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Africa tuu!Ni Afrika tuu, mtu anaweza kumuua mwenzake kisa chakula.
Kwahy wanagombania chakula gn.?Africa tuu!
Hivi vita vinavyopiganiwa Ukraine vs Russia vipo Africa?
"End use" ya migogoro ama dhulma yoyote haujui kwamba inaishia kwenye chakula ama kwa kiswahili cha kisasa wanaita "matumbo"?
Watu wanamalengo yao, ukitafakari sana utaona kuna kitu kikubwa wamekipata. Pia wamefuturisha masikini maeneo ya Mburahati. Kwa bunge wamefanikiwa kibiashara sana.Jamii yetu inapotosha maana ya kuandaa na kutoa futari ktk jamii.
Kwa kawaida futari inabidi itolewe kwa Waislam waliofunga wasiojiweza.
Leo unasikia futari inaandaliwa kwa matajiri wenye uwezo huku
wakiachwa masikini wahitaji.
Mathalani jana Wasafi Media imefuturisha bungeni Dodoma
huu ni zaidi ya unafiki.
Wabunge hawahitaji kufuturishwa kwani wanajiweza
wanapokea posho lak 3 kila siku na mshahara milioni 12 kwa mwezi.
Ingependeza zaidi Wasafi Media wangefuturisha masikini na makundi maalumu kama yatima,walemavu na wenye ukoma.
Nakumbuka marehemu Mengi alikuwa tajiri sana lakini mara nyingi alikutana na walemavu na kula nao chakula,sijawahi kusikia Reginard Mengi ameandalia chakula wabunge.
Jamii yapaswa ibadilike, iache unafiki na kufake maisha.
Teh teh[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]! Mkuu nimecheka wewe kutokuelewa haraka nilichokiongea!Kwahy wanagombania chakula gn.?
Nmekuelewa, ila comment yangu ya kwanza ilikuwa inazungumzia chakula halisi DIRECT kile ambacho kipo tayari kwenye sahani/sufuriaTeh teh[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]! Mkuu nimecheka wewe kutokuelewa haraka nilichokiongea!
Ipo hivii? Ukiona mtu anapambania maisha, mfano analima, anafanya biashara, anaiba, ananyang'anya, mwisho wake (end use) kabisa katika juhudi hizo huwa ni "kula" na kula linatafsirika kama ni "kutumia" yeye mwenyewe ama "wapendwa" wake.
Haujasikia hata kashifa za watumishi wa umma kuhusu matumizi mabaya ya fedha za serikali, kuwa: fulani "kala" pesa ya ofisi?
"Kula" imebeba maana zaidi ya kula kwa kutafuna na kusaga kwa meno na kusikika miyam miyam miyam yaani ku chew!
WEWE MTOA MADA MWEZI UNAELEKEA KUISHA USHATOA SADAKA YOYOTE KWA JAMAA? HUO TUNAITA UNAFIKI MAANA KAFUTURISHA MBAGALA HUKUONA? PALE MABIBO HUKUONA??
HIVI CHUKI ZA KIPUUZ KAMA HIZI HADI LINI???
Yeye na Diamond tu kumchafua. Amepatikana. Mpaka anaomba wasifu wa mtu ili ajue anaanzia wapi kumchafua. Au ndio mange kimambi huyu?Uncle Shamte ana ulimbukeni wa mapenzi
Uncle Shamte ana ulimbukeni wa mapenzi
Nashindwa kuelewa huyu mume wa mama wa mwanamuziki Diamond ana akili gani? Kila anachokifanya na mke wake anakipost Instagram, anapiga picha na mama yake Diamond za aibu.Mfano kwenye profile ya Insta kaweka picha anambashia mama Dangote. Hivi anajielewa huyu? Haoni kama anamdhalilisha...www.jamiiforums.com
Inaonekana huwapendi Wasafi kiujumla.
indeedJamii yetu inapotosha maana ya kuandaa na kutoa futari ktk jamii.
Kwa kawaida futari inabidi itolewe kwa Waislam waliofunga wasiojiweza.
Leo unasikia futari inaandaliwa kwa matajiri wenye uwezo huku
wakiachwa masikini wahitaji.
Mathalani jana Wasafi Media imefuturisha bungeni Dodoma
huu ni zaidi ya unafiki.
Wabunge hawahitaji kufuturishwa kwani wanajiweza
wanapokea posho lak 3 kila siku na mshahara milioni 12 kwa mwezi.
Ingependeza zaidi Wasafi Media wangefuturisha masikini na makundi maalumu kama yatima,walemavu na wenye ukoma.
Nakumbuka marehemu Mengi alikuwa tajiri sana lakini mara nyingi alikutana na walemavu na kula nao chakula,sijawahi kusikia Reginard Mengi ameandalia chakula wabunge.
Jamii yapaswa ibadilike, iache unafiki na kufake maisha.
Hasa pubis ptirius aking'ang'ania hatoki bila ngozi kuchubuka
Ni tabia ya kujikomba tu kwenda kufuturisha wabunge.Jamii yetu inapotosha maana ya kuandaa na kutoa futari ktk jamii.
Kwa kawaida futari inabidi itolewe kwa Waislam waliofunga wasiojiweza.
Leo unasikia futari inaandaliwa kwa matajiri wenye uwezo huku
wakiachwa masikini wahitaji.
Mathalani jana Wasafi Media imefuturisha bungeni Dodoma
huu ni zaidi ya unafiki.
Wabunge hawahitaji kufuturishwa kwani wanajiweza
wanapokea posho lak 3 kila siku na mshahara milioni 12 kwa mwezi.
Ingependeza zaidi Wasafi Media wangefuturisha masikini na makundi maalumu kama yatima,walemavu na wenye ukoma.
Nakumbuka marehemu Mengi alikuwa tajiri sana lakini mara nyingi alikutana na walemavu na kula nao chakula,sijawahi kusikia Reginard Mengi ameandalia chakula wabunge.
Jamii yapaswa ibadilike, iache unafiki na kufake maisha.
Km mtu anafanya kinyume na maandiko hata km ni ridhaa yake mwenyewe lazima watu wamkosoe ili ajue na asirudie kosa tena. Kumpa tajiri kitu haina thawabu km kumpa maskini.Sidhani kama ni busara kumpangia mtu mwingine cha kufanya hasa kama anachotumia ni chake na katafuta mwenyewe na wakati huohuo ukijiuliza wewe kwa uwezo wako unewapa wangapi hata ya kununua muhogo
Unaelewa maana ya alienacho atazidishiwa au umeongea tu?Hapo hakuna sababu ya maana hapo
Alei nacho ata zidishiwa huo ni mfumo wa maisha yetu
Huyu dogo Diamond nae apate washauri wazuri, amezidi kupuyanga hovyo..Jamii yetu inapotosha maana ya kuandaa na kutoa futari ktk jamii.