WASAFI MEDIA wafikisha mil 1 subscribers

bila kusema mawingu wana wangapi hii sio habari

Hao huwa hawajajiweka kuchangamsha channel yao, ipo inaboa boa. Hata kwenye Instagram hawaitangazi, wamekazania huko ambapo hawaingizi pesa badala ya Youtube.
 
Hawa jamaa wanapenda shindana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…