Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Juhudi zeinde kwa JPM bila yeye DIMONDO MEDIYA isingefikisha hao sabusikiraibaz.Tunaishukuru awamu ya tano...!!
Global ni online TV wala sio media kama wasafi.Msiwasahau Global TV
Bila kiba hupumui wewe maana anawasumbua Sana.Hata Rockstar TV ya Kiba wana subscribers zaidi ya 1M wana 95 Million subscribers, Sema tu hawapendi show off wameomba youtube wawapunguze.
kama huu ni ushamba utakuwa mjanja peke yako coz hata wasanii wakubwa nmewaina wakifurahia pale wafikishapo subssubscriber kiasi fulaniHv vitu vimechelewa kuja ndio maana tunavishangaa lakini hii sio habari ni ushamba tu mnaleta humu.
😂😂😂 lini CB au khaled akongea kuhusu hilo wakati khaled mauzo ya nyimbo zake anategemea Spotify, ITunes nk wenzako hawategemei sana mauzo huko YouTube kwetu ni ushamba tu.kama huu ni ushamba utakuwa mjanja peke yako coz hata wasanii wakubwa nmewaina wakifurahia pale wafikishapo subssubscriber kiasi fulani
mfano juzi hapo nlimuona Elton john akishukuru kwa hlo na wengine wengi tu kama Chris Brown, Dj khaled sasa cjui kama nao ni washamba or vp
nshabahatika kuliona hilo tena kwa wasanii wakubwa labda kama we huwafatilii😂😂😂 lini CB au khaled akongea kuhusu hilo wakati khaled mauzo ya nyimbo zake anategemea Spotify, ITunes nk wenzako hawategemei sana mauzo huko YouTube kwetu ni ushamba tu.
Kama nani? Basi huyo atakuwa sio msanii mkubwa mtu kama Breezy ana subscribers 30million huko lakini akipost video views wanazidi zaidi ya 30millions huko.nshabahatika kuliona hilo tena kwa wasanii wakubwa labda kama we huwafatilii