WASAFI MEDIA wafikisha mil 1 subscribers

Hata Rockstar TV ya Kiba wana subscribers zaidi ya 1M wana 95 Million subscribers, Sema tu hawapendi show off wameomba youtube wawapunguze.
Bila kiba hupumui wewe maana anawasumbua Sana.
 
Hv vitu vimechelewa kuja ndio maana tunavishangaa lakini hii sio habari ni ushamba tu mnaleta humu.
 
kama huu ni ushamba utakuwa mjanja peke yako coz hata wasanii wakubwa nmewaina wakifurahia pale wafikishapo subssubscriber kiasi fulani
mfano juzi hapo nlimuona Elton john akishukuru kwa hlo na wengine wengi tu kama Chris Brown, Dj khaled sasa cjui kama nao ni washamba or vp
 
😂😂😂 lini CB au khaled akongea kuhusu hilo wakati khaled mauzo ya nyimbo zake anategemea Spotify, ITunes nk wenzako hawategemei sana mauzo huko YouTube kwetu ni ushamba tu.
 
nshabahatika kuliona hilo tena kwa wasanii wakubwa labda kama we huwafatilii
 
Kama nani? Basi huyo atakuwa sio msanii mkubwa mtu kama Breezy ana subscribers 30million huko lakini akipost video views wanazidi zaidi ya 30millions huko.
 
Back
Top Bottom