Wasafi Media wana beef na M-BET?

Wasafi Media wana beef na M-BET?

njaakalihatari

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2019
Posts
4,081
Reaction score
8,671
Achilia mbali kwamba picha na maelezo yamechanganywa maana aliyesajiliwa na simba ana miaka 23 siyo 29 jamaa wamefanya censoring ya logo ya M BET

Mbona logo za sportpesa huwa wana post, kuna beef? maingiliano ya kibishara? kwa msimu huu picha na video za simba zitakuwa haramu hapo usafini?

wasafi.JPG
 
Kwanza unapaswa kufahamu hv mkuu,hiyo page haina uhusiano Na wasafi fm au tv,(sio yao)..

Pili hiyo page huwa inatangaza matangazo ya kibiashara so ku display m bet ni kama kupromote biashara yao bila malipo.

Hata mwanadada kwa jina la aminatasportlady huwa anahide majina ya makampuni so na yeye tuseme ana bifu na m bet?
 
Tanzania Wasafi ndo kampuni ya kimaskini ya betting, unaweza ukashinda jackpot ukaambiwa zawadi yako Diamond akuimbie"yope"

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]byuti byuti
 
Huyo ni chizi tu, Mbona Diamond ni balozi wa kampuni ya kubet (Wasafi Bet) au hiyo sio kamali.
 
Back
Top Bottom