Dionize N
JF-Expert Member
- Oct 22, 2012
- 1,848
- 3,293
Kwanza unapaswa kufahamu hv mkuu,hiyo page haina uhusiano Na wasafi fm au tv,(sio yao)..
Pili hiyo page huwa inatangaza matangazo ya kibiashara so ku display m bet ni kama kupromote biashara yao bila malipo.
Hata mwanadada kwa jina la aminatasportlady huwa anahide majina ya makampuni so na yeye tuseme ana bifu na m bet?
Ila ni undezi tu, basi acha kabisa kupost, sio unatoa habari halafu unaedit picha waliyoweka wenzio.